From inside the book
Results 1-3 of 5
Page 12
Tokea udogoni mwake kijana huyu aliondokea kuwa na adabu na wingi wa heshima kwa kila mtu ; tabia ambayo ilitofautiana sana na zile za vijana wa hirimu yake . Jambo hili liliwapendeza wazee na majirani wa pale pao .

Page 15
Siku ya pili asubuhi gari nzuri sana ilisimama mlangoni pa yule kijana aliyekuwa tarishi ! Hapo basi , akaelekea ofisini kwake na kuchukua madaraka yake mapya . Alasiri moja tulivu kama ilivyokuwa ada yake , Ahmed alitoka nyumbani na ...

Page 26
Wale watu wa nchi ile waliitika kwa sauti ndogo maana imani yao ilikuwa haba na vile wakimtazama Kisimba na kumwona vile alivyokuwa kijana tu , mioyo yao haikuamini kabisa kuwa alikuwa na uwezo wa namna yoyote juu ya joka Nondo — joka ...

What people are saying - Write a review
We haven't found any reviews in the usual places.
Contents
Mbio za Sakafuni | 1 |
Ajuta Majuto ya Mjukuu | 2 |
Mwana Hamrithi Babaye | 12 |
Copyright | |
5 other sections not shown
Other editions - View all
Common terms and phrases
Ahmed aina ajabu akaanza akamjibu akaona akawa akiwa alianza alikuwa aliona Alipofika alipokuwa aliyekuwa ambaye askari asubuhi atakuwa baba bado bahati bali barazani barua biashara binti chache dada dereva fisi gari ghafla giza halafu haraka heri hofu huku huyo huyu ikawa iliyokuwa ingawa Inspekta Kapera jasho Jinamizi jinsi John joka Nondo kabla Kamene kamwe karibu kati kiasi kijana kikuta kile kimya Kioko kisha Kisimba kuanza kuelekea kufikiri kuingia kumi kuona kupiga kusikia kwakuwa kwani kwenda lile Longman macho magaidi maisha mali mama mara mbele mbio mfalme mganga mikono mjini mkongwe mkubwa mlango mlangoni mle nyumbani Mnazimajini moyo moyoni mpenzi msichana mtoto mwake Mwana mwenye mwenyewe mwingine mwisho Naam Nairobi naye ndani ndipo ndiye nguvu Nondo nyuma nyumbani pale pombe Pongwe punde Ruth Sadik safari sauti tangu tayari upande upelelezi usiku wageni wala wangu wasi wasi wawili Wayua wazee wewe yale yoyote Yusufu zake