Vituko dunianiLongman, 1970 - 43 pages |
From inside the book
Results 1-3 of 5
Page 12
... kijana huyu aliondokea kuwa na adabu na wingi wa heshima kwa kila mtu ; tabia ambayo ilitofautiana sana na zile za vijana wa hirimu yake . jambo hili liliwapendeza wazee na majirani wa pale pao . Alipokuwa na umri wa miaka kumi na tano ...

Page 15
... kijana aliyekuwa tarishi ! Hapo basi , akaelekea ofisini kwake na kuchukua madaraka yake mapya . Alasiri moja tulivu kama ilivyokuwa ada yake , Ahmed alitoka nyumbani na kuelekea upande wa magharibi wa mji huo kiasi cha maili ishirini ...

Page 26
... kijana tu , mioyo yao haikuamini kabisa kuwa alikuwa na uwezo wa namna yoyote juu ya joka Nondo - joka linaloogopwa duniani mwote ! Basi Kisimba alipokwisha sema vile , akalichukua lile chembe la lulu na kulifikicha mkononi mwake na ...

Contents
Mbio za Sakafuni | 1 |
Mwana Hamrithi Babaye | 12 |
Kisimba Shujaa | 23 |
Copyright | |
1 other sections not shown
Other editions - View all
Common terms and phrases
Ahmed aina ajabu akaanza akamjibu akaona akawa akiwa alianza alikuwa aliona Alipofika alipokuwa aliyekuwa ambaye asubuhi atakuwa baba bado bahati bali barazani barua biashara binti chache dada dereva fisi gari ghafla giza halafu haraka heri hofu huku huyo huyu ikawa iliyokuwa ingawa Inspekta Kapera jasho Jinamizi jinsi John joka Nondo kabla Kamene kamwe karibu kati kawaida kiasi kijana kikuta kile kimya Kioko kisha Kisimba kuanza kuelekea kufikiri kuingia kumi kumwoa kuona kupiga kusikia kwakuwa kwani kwenda lile Longman macho magaidi mali mama mara mbele mbio mfalme mganga mikono mjini mkongwe mkubwa mlango mlangoni mle nyumbani Mnazimajini moyo moyoni mpenzi msichana mtoto mwake Mwana mwenye mwenyewe mwingine mwisho Naam Nairobi naye ndani ndiye nguvu Nondo nyuma nyumbani pale pombe Pongwe punde Ruth Sadik safari sauti tangu tayari upande upelelezi usiku wageni wala wangu wasi wasi wawili Wayua wazee wewe yale yoyote Yusufu zake