Vituko dunianiLongman, 1970 - 43 pages |
From inside the book
Results 1-3 of 5
Page 3
... Kifo cha Yusufu kiliwasikitisha watu wote mle mjini na kuwasumbua sana sana askari wa Polisi kwani hawakuwa na mnong'ono wowote kuhusu mauaji hayo . Katika ofisi ya upelelezi ( CID ) walikuwako Inspekta Kapera na Koplo Makevo , wote ...

Page 33
... hospitali yake kubwa na kwa minajili ya dawa zake hapatatokea kifo cha ugonjwa ila cha ajali tu . Mtoto wa pili atakuwa mkubwa wa wakwasi wote nchini . Atakuja kuwanyang'anya nusu ya mali zao na kuwagawia maskini ili mali hayo. 33.

Page 36
... kifo hicho , walisikitika ingawa ndani ya mioyo yao walifurahi mno kwakuwa mganga aliyekuwa akiwatisha amekwisha tangulia . Jinamizi aliporudi nyumbani alimwe- leza mpenziwe yote aliyoyafanya na jinsi alivyoota siku iliyopita na pia ...

Other editions - View all
Common terms and phrases
Afrika ya Mashariki Ahmed aina ajabu akaanza akamjibu akaona heri akasema akasikia alianza aliona Alipofika alipokuwa aliyekuwa ambaye atakuwa baba bahati bali barazani barua bastola Bi mkongwe biashara chache chochote dada dereva fisi gari ghafla giza hakujali halafu haraka huku ikawa iliyokuwa ingawa Inspekta Kapera jasho jembamba Jinamizi jinsi jitokeze John joka Nondo Joyce Jumamosi Kamene kamwe kijana kikutani kile kikuta Kioko kisha Kisimba Korogwe kuanza kufikiri kuingia ndani kumweleza kwakuwa kwenda Kyalo lile Longman macho magaidi maiti makachero Makevo mali mara mbele Mbeya mbio mchumba mfalme wa Wanyakyusa mganga mikono mjini mkongwe mlango mlangoni mle nyumbani Mnazimajini motokaa moyoni mwake mpenzi mpenziwe mradi msichana mtoto mtungi Mwana hamrithi babaye Mwanza Naam Nairobi naye Nondo nyumbani kwao P.O. Box pombe Pongwe punde radi Ruth alikuwa Sadik sauti shujaa starehe tano tatu tetesi tochi upelelezi usiku wageni wala wasi wasi Wayua wazee yoyote Yusufu zake zile