From inside the book
Results 1-3 of 5
Page 11
Kamene akawa na masikitiko makubwa mno kiasi cha kumuua . Alijuta majuto ya
mjukuu . Mwili ulikuwa unamtetemeka na jasho jembamba likawa linamtoka
huku mwili ukimlegea - hofu ilimjaa msichana ! Kioko alipomwona hali yake si
nzuri ...

Page 15
Alasiri moja tulivu kama ilivyokuwa ada yake , Ahmed alitoka nyumbani na
kuelekea upande wa magharibi wa mji huo kiasi cha maili ishirini hivi kwenda
kwenye kijito Wazimu . Mahali hapa palikuwa na mto wa ajabu uliokuwa umejaa
maji ya ...

Page
Zikamtoka kiasi cha shilingi elfu mbili hivi kwa wakati huo . Siku moja John
alimwambia Ruth kwamba alipata barua ya uhamisho kwenda Mwanza . Ruth
aliposikia hivyo , alifadhaika sana , alimhoji sana John na kumsihi kwamba
ingefaa na ...

What people are saying - Write a review
We haven't found any reviews in the usual places.
Contents
Mbio za Sakafuni | 1 |
Mwana Hamrithi Babaye | 12 |
Kisimba Shujaa | 23 |
Copyright | |
1 other sections not shown
Other editions - View all
Common terms and phrases
Ahmed aina ajabu akaanza akamjibu akaona akawa akiwa alianza alikuwa aliona Alipofika alipokuwa aliyekuwa ambaye askari asubuhi atakuwa baba bado bahati bali barazani barua biashara binti chache dada dereva fisi gari ghafla giza halafu haraka heri hofu huku huyo huyu ikawa iliyokuwa ingawa Inspekta Kapera jasho Jinamizi jinsi John joka Nondo kabla Kamene kamwe karibu kiasi kifo kijana kikuta kile kimya Kioko kisha Kisimba kuanza kuelekea kufikiri kuingia kumi kuona kupiga kusikia kwakuwa kwani kwenda lile Longman macho magaidi maisha mali mama mara mbele mbio mfalme mganga mikono mjini mkongwe mkubwa mlango mlangoni mle nyumbani Mnazimajini moyo moyoni mpenzi msichana mtoto mwake Mwana mwenye mwenyewe mwingine mwisho Naam Nairobi naye ndani ndiye nguvu Nondo nyuma nyumbani pale pombe Pongwe punde Ruth Sadik safari sauti tangu tayari upande upelelezi usiku wageni wala wangu Wanyakyusa wasi wasi wawili Wayua wazee wewe yale yoyote Yusufu zake