From inside the book
Results 1-3 of 5
Page 11
Kamene akawa na masikitiko makubwa mno kiasi cha kumuua . Alijuta majuto ya mjukuu . Mwili ulikuwa unamtetemeka na jasho jembamba likawa linamtoka huku mwili ukimlegea — hofu ilimjaa msichana ! Kioko alipomwona hali yake si nzuri ...

Page 15
Alasiri moja tulivu kama ilivyokuwa ada yake , Ahmed alitoka nyumbani na kuelekea upande wa magharibi wa mji huo kiasi cha maili ishirini hivi kwenda kwenye kijito Wazimu . Mahali hapa palikuwa na mto wa ajabu uliokuwa umejaa maji ya ...

Page 41
Zikamtoka kiasi cha shilingi elfu mbili hivi kwa wakati huo . Siku moja John alimwambia Ruth kwamba alipata barua ya uhamisho kwenda Mwanza . Ruth aliposikia hivyo , alifadhaika sana , alimhoji sana John na kumsihi kwamba ingefaa na ...

What people are saying - Write a review
We haven't found any reviews in the usual places.
Contents
Mbio za Sakafuni | 1 |
Ajuta Majuto ya Mjukuu | 2 |
Mwana Hamrithi Babaye | 12 |
Copyright | |
5 other sections not shown
Other editions - View all
Common terms and phrases
Ahmed aina ajabu akaanza akamjibu akaona akawa akiwa alianza alikuwa aliona Alipofika alipokuwa aliyekuwa ambaye askari asubuhi atakuwa baba bado bahati bali barazani barua biashara binti chache dada dereva fisi gari ghafla giza halafu haraka heri hofu huku huyo huyu ikawa iliyokuwa ingawa Inspekta Kapera jasho Jinamizi jinsi John joka Nondo kabla Kamene kamwe karibu kati kiasi kijana kikuta kile kimya Kioko kisha Kisimba kuanza kuelekea kufikiri kuingia kumi kuona kupiga kusikia kwakuwa kwani kwenda lile Longman macho magaidi maisha mali mama mara mbele mbio mfalme mganga mikono mjini mkongwe mkubwa mlango mlangoni mle nyumbani Mnazimajini moyo moyoni mpenzi msichana mtoto mwake Mwana mwenye mwenyewe mwingine mwisho Naam Nairobi naye ndani ndipo ndiye nguvu Nondo nyuma nyumbani pale pombe Pongwe punde Ruth Sadik safari sauti tangu tayari upande upelelezi usiku wageni wala wangu wasi wasi wawili Wayua wazee wewe yale yoyote Yusufu zake