From inside the book
Results 1-3 of 6
Page 13
Ahmed akajiona peke yake kati ya bahari kuu iliyokuwa na giza hata macho yake yakashindwa kuona vema . Akaanza kufadhaika na mawazo yakamjia kuwa ule wakati wake wa mwisho hauko mbali kamwe kwani miguu yake pamoja na mikono ilikuwa ...

Page 15
Watu wengi wakakosa hata mahala pa kuweka ubavu na mmoja kati ya watu namna hiyo alikuwa ni Bwana Ali . Biashara yake yote ilipotea kwa maji akahamia shambani kufanya kazi ya kukata kuni na kupeleka mjini kuuza .

Page 37
Mara baada ya kuhitimu darasa la kumi na mbili , baba yake mpenzi akafariki . Huku nyuma aliacha wasia kwamba bintiye asiolewe wala kuanza kazi kabla ya kurekebisha mali yote kati ya ndugu zake ; pia alikuwa amekwisha ...

What people are saying - Write a review
We haven't found any reviews in the usual places.
Contents
Mbio za Sakafuni | 1 |
Ajuta Majuto ya Mjukuu | 2 |
Mwana Hamrithi Babaye | 12 |
Copyright | |
5 other sections not shown
Other editions - View all
Common terms and phrases
Ahmed aina ajabu akaanza akamjibu akaona akawa akiwa alianza alikuwa aliona Alipofika alipokuwa aliyekuwa ambaye askari asubuhi atakuwa baba bado bahati bali barazani barua biashara binti chache dada dereva fisi gari ghafla giza halafu haraka heri hofu huku huyo huyu ikawa iliyokuwa ingawa Inspekta Kapera jasho Jinamizi jinsi John joka Nondo kabla Kamene kamwe karibu kati kiasi kijana kikuta kile kimya Kioko kisha Kisimba kuanza kuelekea kufikiri kuingia kumi kuona kupiga kusikia kwakuwa kwani kwenda lile Longman macho magaidi maisha mali mama mara mbele mbio mfalme mganga mikono mjini mkongwe mkubwa mlango mlangoni mle nyumbani Mnazimajini moyo moyoni mpenzi msichana mtoto mwake Mwana mwenye mwenyewe mwingine mwisho Naam Nairobi naye ndani ndipo ndiye nguvu Nondo nyuma nyumbani pale pombe Pongwe punde Ruth Sadik safari sauti tangu tayari upande upelelezi usiku wageni wala wangu wasi wasi wawili Wayua wazee wewe yale yoyote Yusufu zake