Vituko dunianiLongman, 1970 - 43 pages |
From inside the book
Results 1-3 of 6
Page 13
... kati ya bahari kuu iliyokuwa na giza hata macho yake yakashindwa kuona vema . Akaanza kufadhaika na mawazo yakamjia kuwa ule wakati wake wa mwisho hauko mbali kamwe kwani miguu yake pamoja na mikono ilikuwa imekwisha anza kuchoka ...

Page 15
... kati ya watu namna hiyo alikuwa ni Bwana Ali . Biashara yake yote ilipotea kwa maji akahamia shambani kufanya kazi ya kukata kuni na kupeleka mjini kuuza . Hii ndiyo iliyokuwa njia pekee ya kujipatia riziki yake . Siku moja yule mganga ...

Page 37
... kati ya ndugu zake ; pia alikuwa amekwisha kumchagulia mchumba wa kumwoa . Baada ya matanga kwisha , Ruth akawa mtawala wa pale nyumbani . Kwa kuwa alikwisha kuwa mkubwa na mwenye hekima , wanachama wa chama cha Maendeleo ya Wanawake ...

Other editions - View all
Common terms and phrases
Afrika ya Mashariki Ahmed aina ajabu akaanza akamjibu akaona heri akasema akasikia alianza aliona Alipofika alipokuwa aliyekuwa ambaye atakuwa baba bahati bali barazani barua bastola Bi mkongwe biashara chache chochote dada dereva fisi gari ghafla giza hakujali halafu haraka huku ikawa iliyokuwa ingawa Inspekta Kapera jasho jembamba Jinamizi jinsi jitokeze John joka Nondo Joyce Jumamosi Kamene kamwe kijana kikutani kile kikuta Kioko kisha Kisimba Korogwe kuanza kufikiri kuingia ndani kumweleza kwakuwa kwenda Kyalo lile Longman macho magaidi maiti makachero Makevo mali mara mbele Mbeya mbio mchumba mfalme wa Wanyakyusa mganga mikono mjini mkongwe mlango mlangoni mle nyumbani Mnazimajini motokaa moyoni mwake mpenzi mpenziwe mradi msichana mtoto mtungi Mwana hamrithi babaye Mwanza Naam Nairobi naye Nondo nyumbani kwao P.O. Box pombe Pongwe punde radi Ruth alikuwa Sadik sauti shujaa starehe tano tatu tetesi tochi upelelezi usiku wageni wala wasi wasi Wayua wazee yoyote Yusufu zake zile