From inside the book
Results 1-3 of 7
Page 26
Kama huwezi , nasikitika kwamba sitaweza kukuoza binti wangu kamwe . ” Kisimba aliposikia hivyo alikubali na kumwambia , “ Tafadhali , kesho piga mbiu ya mgambo , waite watu wote barazani pako nami nitamwita joka Nondo mbele yao wote ...

Page 27
Mimi ni rafiki yako wa chanda na pete , nakuomba uwasamehe watu hawa na wala usiiangamize kamwe nchi yao bali nataka uwaletee rutuba na neema nchini mwao mwote na wala wasikutolee sadaka kamwe tangu leo hata milele .

Page 41
Gari hiyo ilipondeka pondeka vibaya hata haikuweza kutengenezwa kamwe . Wao pia waliumia vibaya sana hata ikawabidi kupelekwa hospitali kubwa ya Mbeya . Baada ya kupona , Ruth aliporudi kazini alikuwa hana gari .

What people are saying - Write a review
We haven't found any reviews in the usual places.
Contents
Mbio za Sakafuni | 1 |
Ajuta Majuto ya Mjukuu | 2 |
Mwana Hamrithi Babaye | 12 |
Copyright | |
5 other sections not shown
Other editions - View all
Common terms and phrases
Ahmed aina ajabu akaanza akamjibu akaona akawa akiwa alianza alikuwa aliona Alipofika alipokuwa aliyekuwa ambaye askari asubuhi atakuwa baba bado bahati bali barazani barua biashara binti chache dada dereva fisi gari ghafla giza halafu haraka heri hofu huku huyo huyu ikawa iliyokuwa ingawa Inspekta Kapera jasho Jinamizi jinsi John joka Nondo kabla Kamene kamwe karibu kati kiasi kijana kikuta kile kimya Kioko kisha Kisimba kuanza kuelekea kufikiri kuingia kumi kuona kupiga kusikia kwakuwa kwani kwenda lile Longman macho magaidi maisha mali mama mara mbele mbio mfalme mganga mikono mjini mkongwe mkubwa mlango mlangoni mle nyumbani Mnazimajini moyo moyoni mpenzi msichana mtoto mwake Mwana mwenye mwenyewe mwingine mwisho Naam Nairobi naye ndani ndipo ndiye nguvu Nondo nyuma nyumbani pale pombe Pongwe punde Ruth Sadik safari sauti tangu tayari upande upelelezi usiku wageni wala wangu wasi wasi wawili Wayua wazee wewe yale yoyote Yusufu zake