From inside the book
Results 1-3 of 6
Page 31
ndani ya nyumba mbio na kuanza kufikiri zaidi juu ya hali yangu kabla sijakata shauri . Naliona pande kubwa la nyama pale chini . Ndio , lilikuwa lile ini nililo kula nusu yake . Nikaliokota na kulifunga vizuri na kuliweka katika mkoba ...

Page 37
Mara baada ya kuhitimu darasa la kumi na mbili , baba yake mpenzi akafariki . Huku nyuma aliacha wasia kwamba bintiye asiolewe wala kuanza kazi kabla ya kurekebisha mali yote kati ya ndugu zake ; pia alikuwa amekwisha ...

Page 41
Kabla hajaondoka , alikwenda kwao na kuwaaga jamaa zake . Siku ya kuondoka walimsindikiza vema na kumtakia heri . Alipofika Dar es Salaam , Ruth aliona ajabu kuona jiji lenyewe pamoja na mambo yalivyokuwa . Bahati mbaya hakupewa nyumba ...

What people are saying - Write a review
We haven't found any reviews in the usual places.
Contents
Mbio za Sakafuni | 1 |
Mwana Hamrithi Babaye | 12 |
Kisimba Shujaa | 23 |
Copyright | |
1 other sections not shown
Other editions - View all
Common terms and phrases
Ahmed aina ajabu akaanza akamjibu akaona akawa akiwa alianza alikuwa aliona Alipofika alipokuwa aliyekuwa ambaye asubuhi atakuwa baba bado bahati bali barazani barua biashara binti chache dada dereva fisi gari ghafla giza halafu haraka heri hofu huku huyo huyu ikawa iliyokuwa ingawa Inspekta Kapera jasho Jinamizi jinsi John joka Nondo kabla Kamene kamwe karibu kati kawaida kiasi kijana kikuta kile kimya Kioko kisha Kisimba kuanza kuelekea kufikiri kuingia kumi kumwoa kuona kupiga kusikia kwakuwa kwani kwenda lile Longman macho magaidi mali mama mara mbele mbio mfalme mganga mikono mjini mkongwe mkubwa mlango mlangoni mle nyumbani Mnazimajini moyo moyoni mpenzi msichana mtoto mwake Mwana mwenye mwenyewe mwingine mwisho Naam Nairobi naye ndani ndiye nguvu Nondo nyuma nyumbani pale pombe Pongwe punde Ruth Sadik safari sauti tangu tayari upande upelelezi usiku wageni wala wangu wasi wasi wawili Wayua wazee wewe yale yoyote Yusufu zake