Vituko dunianiLongman, 1970 - 43 pages |
From inside the book
Results 1-3 of 18
Page 26
... Joka Nondo limetueleza kwamba tuna vita naye na kwamba baada ya siku chache atatuangamiza sisi na vyote vilivyomo nchini mwetu ; nasi hatujui la kufanya . Hivyo basi , sharti moja tu ambalo kwalo naweza kukubali kukuoza mwanangu ni kuwa ...

Page 74
... Nondo akasomee kijijini , akawa anakuja Sega nyakati za likizo tu . Hata hivyo tumaini la Tino juu ya mwanaye huyo wa kiume lilidhihirishwa na mapenzi yaliyomshinda Tino kuyahifadhi . Kama vile aliyejua jambo hilo , Cheche naye ...

Page 19
... joka nondo , ndilo linalo watanda , Kwakuwa lina - vishindo , wawinda lina - washinda , Waogopalo wawinda , nondo lenye na vishindo . Ushikapo korofindo , dhamiri yako kuwinda , Ujuwe sasa ni kondo , usiteteme mafunda , Ubadili hata ...

Other editions - View all
Common terms and phrases
Afrika ya Mashariki Ahmed aina ajabu akaanza akamjibu akaona heri akasema akasikia alianza aliona Alipofika alipokuwa aliyekuwa ambaye atakuwa baba bahati bali barazani barua bastola Bi mkongwe biashara chache chochote dada dereva fisi gari ghafla giza hakujali halafu haraka huku ikawa iliyokuwa ingawa Inspekta Kapera jasho jembamba Jinamizi jinsi jitokeze John joka Nondo Joyce Jumamosi Kamene kamwe kijana kikutani kile kikuta Kioko kisha Kisimba Korogwe kuanza kufikiri kuingia ndani kumweleza kwakuwa kwenda Kyalo lile Longman macho magaidi maiti makachero Makevo mali mara mbele Mbeya mbio mchumba mfalme wa Wanyakyusa mganga mikono mjini mkongwe mlango mlangoni mle nyumbani Mnazimajini motokaa moyoni mwake mpenzi mpenziwe mradi msichana mtoto mtungi Mwana hamrithi babaye Mwanza Naam Nairobi naye Nondo nyumbani kwao P.O. Box pombe Pongwe punde radi Ruth alikuwa Sadik sauti shujaa starehe tano tatu tetesi tochi upelelezi usiku wageni wala wasi wasi Wayua wazee yoyote Yusufu zake zile