Vituko dunianiLongman, 1970 - 43 pages |
From inside the book
Results 1-3 of 4
Page 10
... jasho jembamba likaanza kumtoka . Wenzake wali- poanza kumshika tu na kumpepea , akaaga dunia . Maskini ! Huku nyuma , kitambo si kirefu baba yake akaanza kuumwa na tumbo . Mzee akaanza kulalamika na kujibwaga kitandani . Mara jamii ...

Page 11
... jasho jembamba likawa linamtoka huku mwili ukimlegea - hofu ilimjaa msichana ! Kioko alipomwona hali yake si nzuri , akaona heri ampeleke haraka hospitalini . Kwa haraka akamwingiza ndani ya motokaa yake na kumpeleka hospitalini ...

Page 21
... jasho na shati langu pia lililowa kwa jasho . Pumzi zikawa zinaniisha . Sikuacha kumwomba Mwenyezi Mungu na kusema sala zote na kisha nikaendelea kusema , " Nimekuja hapa kuonana na kuhakikisha kwamba kweli majini mko na kuwa uwezo wenu ...

Contents
Mbio za Sakafuni | 1 |
Mwana Hamrithi Babaye | 12 |
Kisimba Shujaa | 23 |
Copyright | |
1 other sections not shown
Other editions - View all
Common terms and phrases
Ahmed aina ajabu akaanza akamjibu akaona akawa akiwa alianza alikuwa aliona Alipofika alipokuwa aliyekuwa ambaye asubuhi atakuwa baba bado bahati bali barazani barua biashara binti chache dada dereva fisi gari ghafla giza halafu haraka heri hofu huku huyo huyu ikawa iliyokuwa ingawa Inspekta Kapera jasho Jinamizi jinsi John joka Nondo kabla Kamene kamwe karibu kati kawaida kiasi kijana kikuta kile kimya Kioko kisha Kisimba kuanza kuelekea kufikiri kuingia kumi kumwoa kuona kupiga kusikia kwakuwa kwani kwenda lile Longman macho magaidi mali mama mara mbele mbio mfalme mganga mikono mjini mkongwe mkubwa mlango mlangoni mle nyumbani Mnazimajini moyo moyoni mpenzi msichana mtoto mwake Mwana mwenye mwenyewe mwingine mwisho Naam Nairobi naye ndani ndiye nguvu Nondo nyuma nyumbani pale pombe Pongwe punde Ruth Sadik safari sauti tangu tayari upande upelelezi usiku wageni wala wangu wasi wasi wawili Wayua wazee wewe yale yoyote Yusufu zake