From inside the book
Results 1-3 of 10
Page 8
Hawakuonyesha hasira wala masikitiko kwakuwa Wayua alitoroshwa kwa nguvu
na wale watu wawili . Kamene alifadhaika sana ingawa alikuwa hana la kufanya
; kwa hiyo ilimbidi na yeye kushika ' hamsini ' zake ! Ilikuwa baada ya Kamene ...

Page 12
Na ingawa ' Jitihada haiondoi kudura ” , kila dawa iliyojaribiwa kwa maradhi
hayo haikuleta nafuu ya kutosha . Waganga hawa na wale walionekana
nyumbani kwa tajiri huyo lakini haikufaa kitu na pesa nyingi zikapotea . Baada ya
mwaka ...

Page 37
Alikuwa na moyo wa kupenda starehe ingawa hakuthubutu kujiingiza maana
alitambua kuwa kufanya hivyo ndio mwanzo wa kuharibu maisha yake . Hofu hii
ilitiliwa mkazo kwa umri wake mdogo . Binti huyo alizaliwa katika ukoo wa
kifalme ...

What people are saying - Write a review
We haven't found any reviews in the usual places.
Contents
Mbio za Sakafuni | 1 |
Mwana Hamrithi Babaye | 12 |
Kisimba Shujaa | 23 |
Copyright | |
1 other sections not shown
Other editions - View all
Common terms and phrases
Ahmed aina ajabu akaanza akamjibu akaona akawa akiwa alianza alikuwa aliona Alipofika alipokuwa aliyekuwa ambaye askari asubuhi atakuwa baba bado bahati bali barazani barua biashara binti chache dada dereva fisi gari ghafla giza halafu haraka heri hofu huku huyo huyu ikawa iliyokuwa ingawa Inspekta Kapera jasho Jinamizi jinsi John joka Nondo kabla Kamene kamwe karibu kiasi kifo kijana kikuta kile kimya Kioko kisha Kisimba kuanza kuelekea kufikiri kuingia kumi kuona kupiga kusikia kwakuwa kwani kwenda lile Longman macho magaidi maisha mali mama mara mbele mbio mfalme mganga mikono mjini mkongwe mkubwa mlango mlangoni mle nyumbani Mnazimajini moyo moyoni mpenzi msichana mtoto mwake Mwana mwenye mwenyewe mwingine mwisho Naam Nairobi naye ndani ndiye nguvu Nondo nyuma nyumbani pale pombe Pongwe punde Ruth Sadik safari sauti tangu tayari upande upelelezi usiku wageni wala wangu Wanyakyusa wasi wasi wawili Wayua wazee wewe yale yoyote Yusufu zake