Vituko dunianiLongman, 1970 - 43 pages |
From inside the book
Results 1-3 of 10
Page 8
... ingawa alikuwa hana la kufanya ; kwa hiyo ilimbidi na yeye kushika ' hamsini ' zake ! Ilikuwa baada ya Kamene kufikia umri wa miaka kumi na mitano hivi , alipofahamu kisa kile kilichompata dada yake . Alifahamu kwamba kwakuwa dada yake ...

Page 18
... ingawa lilikuwa na kuta nne . Sidhani kama gofu hili lilikuwa nyumba hapo zamani . Nalipokuwa nikiwaza haya na kuangalia mbele nikaona mfano wa ngazi iliyokuwa na madaraja yaliyoteremka chini . Nikaingiwa na hamu . ya kwenda kuchungulia ...

Page 36
... ingawa ndani ya mioyo yao walifurahi mno kwakuwa mganga aliyekuwa akiwatisha amekwisha tangulia . Jinamizi aliporudi nyumbani alimwe- leza mpenziwe yote aliyoyafanya na jinsi alivyoota siku iliyopita na pia jinsi ndoto yake ...

Other editions - View all
Common terms and phrases
Afrika ya Mashariki Ahmed aina ajabu akaanza akamjibu akaona heri akasema akasikia alianza aliona Alipofika alipokuwa aliyekuwa ambaye atakuwa baba bahati bali barazani barua bastola Bi mkongwe biashara chache chochote dada dereva fisi gari ghafla giza hakujali halafu haraka huku ikawa iliyokuwa ingawa Inspekta Kapera jasho jembamba Jinamizi jinsi jitokeze John joka Nondo Joyce Jumamosi Kamene kamwe kijana kikutani kile kikuta Kioko kisha Kisimba Korogwe kuanza kufikiri kuingia ndani kumweleza kwakuwa kwenda Kyalo lile Longman macho magaidi maiti makachero Makevo mali mara mbele Mbeya mbio mchumba mfalme wa Wanyakyusa mganga mikono mjini mkongwe mlango mlangoni mle nyumbani Mnazimajini motokaa moyoni mwake mpenzi mpenziwe mradi msichana mtoto mtungi Mwana hamrithi babaye Mwanza Naam Nairobi naye Nondo nyumbani kwao P.O. Box pombe Pongwe punde radi Ruth alikuwa Sadik sauti shujaa starehe tano tatu tetesi tochi upelelezi usiku wageni wala wasi wasi Wayua wazee yoyote Yusufu zake zile