From inside the book
Results 1-3 of 6
Page 17
Basi ikawa tangu siku hiyo , majirani na watu wa kijiji kile huhadithia vituko vya
aina mbali mbali wanavyovisikia na hata wengine husema kwamba wamewahi
kuviona mle nyumbani ! Nalipopata habari hii nalijiambia nafsi yangu , “ Ile nafasi
...

Page 19
Nalipokuwa nikiwaza hivi naliona kile kikuta kilikuwa kama mithili ya pazia la
kuonyesha sinema . Basi hapo ikawa hekaya baada ya hekaya nakitazama
kama sinema . Mwangaza mkubwa ulikuwa mbele yangu na kikuta kilikuwa
kinang ' aa .

Page 35
Tangu saa ile mapenzi yao yalizidi kupindukia na ikawa hawawezi kukosana
kabisa hata dakika moja . Ilikuwa usiku mmoja ambao Jinamizi alikuwa yumo
usingizini alipoota kwamba Mnazimajini alikuja na kumfanyia hadaa ,
akafukuziliwa ...

What people are saying - Write a review
We haven't found any reviews in the usual places.
Contents
Mbio za Sakafuni | 1 |
Mwana Hamrithi Babaye | 12 |
Kisimba Shujaa | 23 |
Copyright | |
1 other sections not shown
Other editions - View all
Common terms and phrases
Ahmed aina ajabu akaanza akamjibu akaona akawa akiwa alianza alikuwa aliona Alipofika alipokuwa aliyekuwa ambaye askari asubuhi atakuwa baba bado bahati bali barazani barua biashara binti chache dada dereva fisi gari ghafla giza halafu haraka heri hofu huku huyo huyu ikawa iliyokuwa ingawa Inspekta Kapera jasho Jinamizi jinsi John joka Nondo kabla Kamene kamwe karibu kiasi kifo kijana kikuta kile kimya Kioko kisha Kisimba kuanza kuelekea kufikiri kuingia kumi kuona kupiga kusikia kwakuwa kwani kwenda lile Longman macho magaidi maisha mali mama mara mbele mbio mfalme mganga mikono mjini mkongwe mkubwa mlango mlangoni mle nyumbani Mnazimajini moyo moyoni mpenzi msichana mtoto mwake Mwana mwenye mwenyewe mwingine mwisho Naam Nairobi naye ndani ndiye nguvu Nondo nyuma nyumbani pale pombe Pongwe punde Ruth Sadik safari sauti tangu tayari upande upelelezi usiku wageni wala wangu Wanyakyusa wasi wasi wawili Wayua wazee wewe yale yoyote Yusufu zake