Vituko dunianiLongman, 1970 - 43 pages |
From inside the book
Results 1-3 of 7
Page 12
... huyo lakini haikufaa kitu na pesa nyingi zikapotea . Baada ya mwaka mmoja , Bwana Ali alisadifu mganga wa Kisomali , Sadik , ambaye alikuja Pongwe kwa musimu wa biashara . Akaelezwa kwa urefu hali ya Ahmed ambaye hivi sasa alidhofu sana ...

Page 37
... huyo alizaliwa katika ukoo wa kifalme na wa kitajiri . Kwa hiyo , baba yake alikuwa na nafasi hata ikambidi kuoa wake kumi na wawili . Pia hakukosa kumtimizia bintiye mahitaji yote yaliyohusu elimu maana alijua kwamba yeye ndiye atakaye ...

Page 41
... huyo wa taxi alivutiwa sana na sura pamoja na umbo la Ruth , akaona angalao amsemeshe kidogo . Akamwuliza , " Je ! Dada , wewe ni mkaaji wa hapa hapa mjini , mbona hata siku mo- ja sijakuona ? " Ruth akamjibu , " Mimi ni mgeni ...

Other editions - View all
Common terms and phrases
Afrika ya Mashariki Ahmed aina ajabu akaanza akamjibu akaona heri akasema akasikia alianza aliona Alipofika alipokuwa aliyekuwa ambaye atakuwa baba bahati bali barazani barua bastola Bi mkongwe biashara chache chochote dada dereva fisi gari ghafla giza hakujali halafu haraka huku ikawa iliyokuwa ingawa Inspekta Kapera jasho jembamba Jinamizi jinsi jitokeze John joka Nondo Joyce Jumamosi Kamene kamwe kijana kikutani kile kikuta Kioko kisha Kisimba Korogwe kuanza kufikiri kuingia ndani kumweleza kwakuwa kwenda Kyalo lile Longman macho magaidi maiti makachero Makevo mali mara mbele Mbeya mbio mchumba mfalme wa Wanyakyusa mganga mikono mjini mkongwe mlango mlangoni mle nyumbani Mnazimajini motokaa moyoni mwake mpenzi mpenziwe mradi msichana mtoto mtungi Mwana hamrithi babaye Mwanza Naam Nairobi naye Nondo nyumbani kwao P.O. Box pombe Pongwe punde radi Ruth alikuwa Sadik sauti shujaa starehe tano tatu tetesi tochi upelelezi usiku wageni wala wasi wasi Wayua wazee yoyote Yusufu zake zile