From inside the book
Results 1-3 of 6
Page 11
Mwili ulikuwa unamtetemeka na jasho jembamba likawa linamtoka huku mwili
ukimlegea - hofu ilimjaa msichana ! Kioko alipomwona hali yake si nzuri , akaona
heri ampeleke haraka hospitalini . Kwa haraka akamwingiza ndani ya motokaa ...

Page 21
Kwa mara nyingine tena nikahisi ile hatari iliyokuwa imenikabili na nikashikwa
na hofu ajabu . Mara nikasikia sauti mfano wa mtu aliyekuwa anabisha mlango .
Nikajikusanya na kushauriana na nafsi yangu kuwa , “ Naliwahi kusikia kwamba
...

Page 37
Aliaminika sana na majirani kijijini pao . Alikuwa na moyo wa kupenda starehe
ingawa hakuthubutu kujiingiza maana alitambua kuwa kufanya hivyo ndio
mwanzo wa kuharibu maisha yake . Hofu hii ilitiliwa mkazo kwa umri wake
mdogo .

What people are saying - Write a review
We haven't found any reviews in the usual places.
Contents
Mbio za Sakafuni | 1 |
Mwana Hamrithi Babaye | 12 |
Kisimba Shujaa | 23 |
Copyright | |
1 other sections not shown
Other editions - View all
Common terms and phrases
Ahmed aina ajabu akaanza akamjibu akaona akawa akiwa alianza alikuwa aliona Alipofika alipokuwa aliyekuwa ambaye askari asubuhi atakuwa baba bado bahati bali barazani barua biashara binti chache dada dereva fisi gari ghafla giza halafu haraka heri hofu huku huyo huyu ikawa iliyokuwa ingawa Inspekta Kapera jasho Jinamizi jinsi John joka Nondo kabla Kamene kamwe karibu kiasi kifo kijana kikuta kile kimya Kioko kisha Kisimba kuanza kuelekea kufikiri kuingia kumi kuona kupiga kusikia kwakuwa kwani kwenda lile Longman macho magaidi maisha mali mama mara mbele mbio mfalme mganga mikono mjini mkongwe mkubwa mlango mlangoni mle nyumbani Mnazimajini moyo moyoni mpenzi msichana mtoto mwake Mwana mwenye mwenyewe mwingine mwisho Naam Nairobi naye ndani ndiye nguvu Nondo nyuma nyumbani pale pombe Pongwe punde Ruth Sadik safari sauti tangu tayari upande upelelezi usiku wageni wala wangu Wanyakyusa wasi wasi wawili Wayua wazee wewe yale yoyote Yusufu zake