Vituko dunianiLongman, 1970 - 43 pages |
From inside the book
Results 1-3 of 6
Page 11
... hofu ilimjaa msichana ! Kioko alipomwona hali yake si nzuri , akaona heri ampeleke haraka hospitalini . Kwa haraka akamwingiza ndani ya motokaa yake na kumpeleka hospitalini . Kamene akapokelewa vema kule hospitali na matibabu yakaanza ...

Page 21
... hofu ajabu . Mara nikasikia sauti mfano wa mtu aliyekuwa anabisha mlango . Nikajikusanya na kushauriana na nafsi yangu kuwa , “ Nali- wahi kusikia kwamba mara nyingi hawa mashetani au majini hawaingii nyumbani ila kwa idhini lakini mimi ...

Page 37
... Hofu hii ilitiliwa mkazo kwa umri wake mdogo . Binti huyo alizaliwa katika ukoo wa kifalme na wa kitajiri . Kwa hiyo , baba yake alikuwa na nafasi hata ikambidi kuoa wake kumi na wawili . Pia hakukosa kumtimizia bintiye mahitaji yote ...

Contents
Mbio za Sakafuni | 1 |
Mwana Hamrithi Babaye | 12 |
Kisimba Shujaa | 23 |
Copyright | |
1 other sections not shown
Other editions - View all
Common terms and phrases
Ahmed aina ajabu akaanza akamjibu akaona akawa akiwa alianza alikuwa aliona Alipofika alipokuwa aliyekuwa ambaye asubuhi atakuwa baba bado bahati bali barazani barua biashara binti chache dada dereva fisi gari ghafla giza halafu haraka heri hofu huku huyo huyu ikawa iliyokuwa ingawa Inspekta Kapera jasho Jinamizi jinsi John joka Nondo kabla Kamene kamwe karibu kati kawaida kiasi kijana kikuta kile kimya Kioko kisha Kisimba kuanza kuelekea kufikiri kuingia kumi kumwoa kuona kupiga kusikia kwakuwa kwani kwenda lile Longman macho magaidi mali mama mara mbele mbio mfalme mganga mikono mjini mkongwe mkubwa mlango mlangoni mle nyumbani Mnazimajini moyo moyoni mpenzi msichana mtoto mwake Mwana mwenye mwenyewe mwingine mwisho Naam Nairobi naye ndani ndiye nguvu Nondo nyuma nyumbani pale pombe Pongwe punde Ruth Sadik safari sauti tangu tayari upande upelelezi usiku wageni wala wangu wasi wasi wawili Wayua wazee wewe yale yoyote Yusufu zake