From inside the book
Results 1-3 of 7
Page 11
Kioko alipomwona hali yake si nzuri , akaona heri ampeleke haraka hospitalini .
Kwa haraka akamwingiza ndani ya motokaa yake na kumpeleka hospitalini .
Kamene akapokelewa vema kule hospitali na matibabu yakaanza saa ile ile ;
lakini ...

Page
Maji yakimwagika hayazoleki ! Punde si punde , Ruth naye akapata barua ya
uhamisho wa kwenda Dar es Salaam . Kabla hajaondoka , alikwenda kwao na
kuwaaga jamaa zake . Siku ya kuondoka walimsindikiza vema na kumtakia heri .

Mwishowe akaona heri azurure zurure kwenye mabaa labda angebahatisha
kupata mtu mwenye huruma wa kumsaidia . Alipoingia katika baa moja kwa
bahati akaitwa na ' Naizesheni ' mmoja ambaye alisema angependa waende
pwani ...

What people are saying - Write a review
We haven't found any reviews in the usual places.
Contents
Mbio za Sakafuni | 1 |
Mwana Hamrithi Babaye | 12 |
Kisimba Shujaa | 23 |
Copyright | |
1 other sections not shown
Other editions - View all
Common terms and phrases
Ahmed aina ajabu akaanza akamjibu akaona akawa akiwa alianza alikuwa aliona Alipofika alipokuwa aliyekuwa ambaye asubuhi atakuwa baba bado bahati bali barazani barua biashara binti chache dada dereva fisi gari ghafla giza halafu haraka heri hofu huku huyo huyu ikawa iliyokuwa ingawa Inspekta Kapera jasho Jinamizi jinsi John joka Nondo kabla Kamene kamwe karibu kati kiasi kijana kikuta kile kimya Kioko kisha Kisimba kuanza kuelekea kufikiri kuingia kumi kumwoa kuona kupiga kusikia kwakuwa kwani kwenda lile Longman macho magaidi maisha mali mama mara mbele mbio mfalme mganga mikono mjini mkongwe mkubwa mlango mlangoni mle nyumbani Mnazimajini moyo moyoni mpenzi msichana mtoto mwake Mwana mwenye mwenyewe mwingine mwisho Naam Nairobi naye ndani ndiye nguvu Nondo nyuma nyumbani nzima pale pombe Pongwe punde Ruth Sadik safari sauti tangu tayari upande upelelezi usiku wageni wala wangu wasi wasi wawili Wayua wazee wewe yale yoyote Yusufu zake