From inside the book
Results 1-3 of 11
Page 3
Walipokuwa karibu na mlango huku Yusufu bado akiwaangalia tu , akili ikamjia ,
akakumbuka fedha zake na kwamba anaweza kujitetea ; basi na yeye kwa
haraka akajaribu kutoa bastola yake kwenye droo lakini wapii ! Alipoishika
mkononi ...

Page 11
Kioko alipomwona hali yake si nzuri , akaona heri ampeleke haraka hospitalini .
Kwa haraka akamwingiza ndani ya motokaa yake na kumpeleka hospitalini .
Kamene akapokelewa vema kule hospitali na matibabu yakaanza saa ile ile ;
lakini ...

Page 16
Safari ya haraka ikafanywa na baada ya siku chache wakafika Mtongwe . Hali
yake Ahmed tokea siku ile alipokuwa kijitoni ilikuwa nzuri sana . Watu wengi
walianza kushukuru kwani aliiacha ile tabia yake ya kukaa kimya pekee na
kuanza ...

What people are saying - Write a review
We haven't found any reviews in the usual places.
Contents
Mbio za Sakafuni | 1 |
Mwana Hamrithi Babaye | 12 |
Kisimba Shujaa | 23 |
Copyright | |
1 other sections not shown
Other editions - View all
Common terms and phrases
Ahmed aina ajabu akaanza akamjibu akaona akawa akiwa alianza alikuwa aliona Alipofika alipokuwa aliyekuwa ambaye askari asubuhi atakuwa baba bado bahati bali barazani barua biashara binti chache dada dereva fisi gari ghafla giza halafu haraka heri hofu huku huyo huyu ikawa iliyokuwa ingawa Inspekta Kapera jasho Jinamizi jinsi John joka Nondo kabla Kamene kamwe karibu kiasi kifo kijana kikuta kile kimya Kioko kisha Kisimba kuanza kuelekea kufikiri kuingia kumi kuona kupiga kusikia kwakuwa kwani kwenda lile Longman macho magaidi maisha mali mama mara mbele mbio mfalme mganga mikono mjini mkongwe mkubwa mlango mlangoni mle nyumbani Mnazimajini moyo moyoni mpenzi msichana mtoto mwake Mwana mwenye mwenyewe mwingine mwisho Naam Nairobi naye ndani ndiye nguvu Nondo nyuma nyumbani pale pombe Pongwe punde Ruth Sadik safari sauti tangu tayari upande upelelezi usiku wageni wala wangu Wanyakyusa wasi wasi wawili Wayua wazee wewe yale yoyote Yusufu zake