Vituko dunianiLongman, 1970 - 43 pages |
From inside the book
Results 1-3 of 10
Page 3
... halafu akawa maiti ! Wale magaidi walipoona kwamba Yusufu amefariki , walipiga simu polisi kwa hekima na kutoa taarifa kwamba Yusufu amefariki kwa kupigwa risasi . Askari wa Polisi alipouliza kwamba ni nani aliyekuwa akitoa taarifa hiyo ...

Page 5
... halafu akaingia katika kijia kimoja kidogo ambacho kilikuwa kinaelekea kwenye nyumba ya mtu fulani . Mbele ya hiyo nyumba aliweza kuiona ile motokaa ya wale magaidi . Basi , aliisimamisha motokaa yake pembeni kidogo mahali ambapo askari ...

Page 17
... halafu yule Bi mkongwe akahamishwa pale nyumbani na kwenda kutibiwa katika nyumba nyingine ya jirani . Basi ikawa tangu siku hiyo , majirani na watu wa kijiji kile huhadithia vituko vya aina mbali mbali wanavyo- visikia na hata wengine ...

Other editions - View all
Common terms and phrases
Afrika ya Mashariki Ahmed aina ajabu akaanza akamjibu akaona heri akasema akasikia alianza aliona Alipofika alipokuwa aliyekuwa ambaye atakuwa baba bahati bali barazani barua bastola Bi mkongwe biashara chache chochote dada dereva fisi gari ghafla giza hakujali halafu haraka huku ikawa iliyokuwa ingawa Inspekta Kapera jasho jembamba Jinamizi jinsi jitokeze John joka Nondo Joyce Jumamosi Kamene kamwe kijana kikutani kile kikuta Kioko kisha Kisimba Korogwe kuanza kufikiri kuingia ndani kumweleza kwakuwa kwenda Kyalo lile Longman macho magaidi maiti makachero Makevo mali mara mbele Mbeya mbio mchumba mfalme wa Wanyakyusa mganga mikono mjini mkongwe mlango mlangoni mle nyumbani Mnazimajini motokaa moyoni mwake mpenzi mpenziwe mradi msichana mtoto mtungi Mwana hamrithi babaye Mwanza Naam Nairobi naye Nondo nyumbani kwao P.O. Box pombe Pongwe punde radi Ruth alikuwa Sadik sauti shujaa starehe tano tatu tetesi tochi upelelezi usiku wageni wala wasi wasi Wayua wazee yoyote Yusufu zake zile