Vituko dunianiLongman, 1970 - 43 pages |
From inside the book
Results 1-3 of 6
Page 12
... giza kuu na kwamba hivi sasa alikuwa katika uwanda uliojaa nuru kwani kwa hali aliyokuwa nayo hakuweza kushiriki katika tafrija yoyote . Kwa kuwa Pongwe haikuwa mbali na bahari , walitokea washabiki wengi waliopenda kuogelea . Naye ...

Page 19
... giza na upepo wa bahari ulikuwa unavuma kwa kasi . Nalipoikaribia ile nyumba , nalidhani kwamba yale mawimbi makubwa makubwa yalikuwa yakinguruma zaidi siku ile kuliko ilivyokuwa desturi yake . Nalishikwa na hofu . Moyo wangu ukaanza ...

Page 20
... giza tu . Nikarejesha macho yangu kwenye kile kikuta nacho pia kwa wakati huu kikawa kimefunikwa na giza . Pale pale naliitoa tochi yangu nikaiweka tayari mkononi ; nikakaa kwa mguu mmoja nikitazama upande wa mlango . Yote haya ...

Contents
Mbio za Sakafuni | 1 |
Mwana Hamrithi Babaye | 12 |
Kisimba Shujaa | 23 |
Copyright | |
1 other sections not shown
Other editions - View all
Common terms and phrases
Ahmed aina ajabu akaanza akamjibu akaona akawa akiwa alianza alikuwa aliona Alipofika alipokuwa aliyekuwa ambaye asubuhi atakuwa baba bado bahati bali barazani barua biashara binti chache dada dereva fisi gari ghafla giza halafu haraka heri hofu huku huyo huyu ikawa iliyokuwa ingawa Inspekta Kapera jasho Jinamizi jinsi John joka Nondo kabla Kamene kamwe karibu kati kawaida kiasi kijana kikuta kile kimya Kioko kisha Kisimba kuanza kuelekea kufikiri kuingia kumi kumwoa kuona kupiga kusikia kwakuwa kwani kwenda lile Longman macho magaidi mali mama mara mbele mbio mfalme mganga mikono mjini mkongwe mkubwa mlango mlangoni mle nyumbani Mnazimajini moyo moyoni mpenzi msichana mtoto mwake Mwana mwenye mwenyewe mwingine mwisho Naam Nairobi naye ndani ndiye nguvu Nondo nyuma nyumbani pale pombe Pongwe punde Ruth Sadik safari sauti tangu tayari upande upelelezi usiku wageni wala wangu wasi wasi wawili Wayua wazee wewe yale yoyote Yusufu zake