From inside the book
Results 1-3 of 9
Page 1
Walipokuwa wakiingia kwa kunyemelea nyemelea , ghafla walikutana na kisura mmoja aliyekuwa karani wa Yusufu ; naye alipotaka kusema tu , alikotwa kwa kitako cha bastola kichwani na akapotewa na fahamu- akaanguka chini akalala .

Page 10
... wakutane kesho yake kwa matayarisho ya arusi . Ngoma zikaanza kulia , vigelegele na mayowe yakapigwa . Wageni walipoachana na kwenda kiasi cha muda mfupi , yule bwana ambaye angekuwa mume wake Kamene ghafla akaanguka chini , povu na ...

Page 11
Katika kukimbia kwake vile , ghafla gari moja likawa linakuja mbio na lilikuwa karibu kumponda Kamene lakini mara likafunga breki na hali taa zake zikiwa zinammulika tu . Kamene akaanguka mbele ya ile gari , akazimia .

What people are saying - Write a review
We haven't found any reviews in the usual places.
Contents
Mbio za Sakafuni | 1 |
Mwana Hamrithi Babaye | 12 |
Kisimba Shujaa | 23 |
Copyright | |
1 other sections not shown
Other editions - View all
Common terms and phrases
Ahmed aina ajabu akaanza akamjibu akaona akawa akiwa alianza alikuwa aliona Alipofika alipokuwa aliyekuwa ambaye asubuhi atakuwa baba bado bahati bali barazani barua biashara binti chache dada dereva fisi gari ghafla giza halafu haraka heri hofu huku huyo huyu ikawa iliyokuwa ingawa Inspekta Kapera jasho Jinamizi jinsi John joka Nondo kabla Kamene kamwe karibu kati kawaida kiasi kijana kikuta kile kimya Kioko kisha Kisimba kuanza kuelekea kufikiri kuingia kumi kumwoa kuona kupiga kusikia kwakuwa kwani kwenda lile Longman macho magaidi mali mama mara mbele mbio mfalme mganga mikono mjini mkongwe mkubwa mlango mlangoni mle nyumbani Mnazimajini moyo moyoni mpenzi msichana mtoto mwake Mwana mwenye mwenyewe mwingine mwisho Naam Nairobi naye ndani ndiye nguvu Nondo nyuma nyumbani pale pombe Pongwe punde Ruth Sadik safari sauti tangu tayari upande upelelezi usiku wageni wala wangu wasi wasi wawili Wayua wazee wewe yale yoyote Yusufu zake