From inside the book
Results 1-3 of 3
Page 9
Kioko aliyekuwa dereva mjini Nairobi alikuwa ndiye ndoto ya Kamene aliyewaza mavazi yale mazuri Kioko aliyovaa wakati anaendesha gari lake Nairobi na pia alipendelea sana maisha ya kuishi katika mji mkuu kama Nairobi wenye majumba ...

Page 41
Kwa muda wa wiki mbili , Ruth alijipachika pachika kwa dereva aliyekuwa akifanya kazi pamoja naye . Siku moja Ruth aliona ukiwa sana hata akafikiria kwenda sinema ili kupoteza wakati . Akakodisha taxi ya kumpeleka na kumrudisha nyumbani ...

Page 43
Walipofika sinema , Ruth akamwomba dereva wote waingie pichani . Mhuni akashukuru sana maana alikwishapata mahali pa mteremko ! Picha yenyewe ilikuwa komesha , si mahaba hayo . Baada ya picha wakachoma moja kwa moja hadi Magomeni .

What people are saying - Write a review
We haven't found any reviews in the usual places.
Contents
Mbio za Sakafuni | 1 |
Ajuta Majuto ya Mjukuu | 2 |
Mwana Hamrithi Babaye | 12 |
Copyright | |
5 other sections not shown
Other editions - View all
Common terms and phrases
Ahmed aina ajabu akaanza akamjibu akaona akawa akiwa alianza alikuwa aliona Alipofika alipokuwa aliyekuwa ambaye askari asubuhi atakuwa baba bado bahati bali barazani barua biashara binti chache dada dereva fisi gari ghafla giza halafu haraka heri hofu huku huyo huyu ikawa iliyokuwa ingawa Inspekta Kapera jasho Jinamizi jinsi John joka Nondo kabla Kamene kamwe karibu kati kiasi kijana kikuta kile kimya Kioko kisha Kisimba kuanza kuelekea kufikiri kuingia kumi kuona kupiga kusikia kwakuwa kwani kwenda lile Longman macho magaidi maisha mali mama mara mbele mbio mfalme mganga mikono mjini mkongwe mkubwa mlango mlangoni mle nyumbani Mnazimajini moyo moyoni mpenzi msichana mtoto mwake Mwana mwenye mwenyewe mwingine mwisho Naam Nairobi naye ndani ndipo ndiye nguvu Nondo nyuma nyumbani pale pombe Pongwe punde Ruth Sadik safari sauti tangu tayari upande upelelezi usiku wageni wala wangu wasi wasi wawili Wayua wazee wewe yale yoyote Yusufu zake