From inside the book
Results 1-3 of 4
Page 6
2 Ajuta Majuto ya Mjukuu John Ndeti Somba Alikuwa na umri wa miaka tisa tu wakati aliposhuhudia kuchukuliwa kwa dada yake Wayua . Alifikiri ni mchezo lakini kumbe alichukuliwa mbali kupita kiasi na kuonana kutakuwa wakijaliwa .

Page 8
Ghafla alipotupa macho ili aangalie kama dada yake anarudishwa aliona kwamba wale watu walikuwa wamekwisha tokomea naye . Akili ikaanza kumduru na akawa hana la kufanya ila kurudi nyumbani kwao haraka alivyoweza .

Page 41
Dada , wewe ni mkaaji wa hapa hapa mjini , mbona hata siku moja sijakuona ? ” Ruth akamjibu , “ Mimi ni mgeni , nimetoka bara . Nimekuja hapa kutoka Kipembawe na nafanya kazi ya Maendeleo ya Wanawake . ” Akazidi kumweleza juu ya taabu ...

What people are saying - Write a review
We haven't found any reviews in the usual places.
Contents
Mbio za Sakafuni | 1 |
Ajuta Majuto ya Mjukuu | 2 |
Mwana Hamrithi Babaye | 12 |
Copyright | |
5 other sections not shown
Other editions - View all
Common terms and phrases
Ahmed aina ajabu akaanza akamjibu akaona akawa akiwa alianza alikuwa aliona Alipofika alipokuwa aliyekuwa ambaye askari asubuhi atakuwa baba bado bahati bali barazani barua biashara binti chache dada dereva fisi gari ghafla giza halafu haraka heri hofu huku huyo huyu ikawa iliyokuwa ingawa Inspekta Kapera jasho Jinamizi jinsi John joka Nondo kabla Kamene kamwe karibu kati kiasi kijana kikuta kile kimya Kioko kisha Kisimba kuanza kuelekea kufikiri kuingia kumi kuona kupiga kusikia kwakuwa kwani kwenda lile Longman macho magaidi maisha mali mama mara mbele mbio mfalme mganga mikono mjini mkongwe mkubwa mlango mlangoni mle nyumbani Mnazimajini moyo moyoni mpenzi msichana mtoto mwake Mwana mwenye mwenyewe mwingine mwisho Naam Nairobi naye ndani ndipo ndiye nguvu Nondo nyuma nyumbani pale pombe Pongwe punde Ruth Sadik safari sauti tangu tayari upande upelelezi usiku wageni wala wangu wasi wasi wawili Wayua wazee wewe yale yoyote Yusufu zake