Vituko dunianiLongman, 1970 - 43 pages |
From inside the book
Results 1-3 of 4
Page 6
... dada yake Wayua . Alifikiri ni mchezo lakini kumbe alichukuliwa mbali kupita kiasi na kuonana kutakuwa wakijaliwa . Iliyobaki ni kusikia kama mzaha kwamba Wayua ana mtoto ; mara akapata mwingine na mwingine na mwingine tena ! Hata ...

Page 8
... dada yake akieleza kwanıba hajui wale watu waliomchukua dada yake wamempeleka wapi . Lakini Kamene alishtushwa sana na tabia za wazazi wake maana walipuuza maneno yake na wala hawakujali . Hawakuonyesha hasira wala masikitiko kwakuwa ...

Page 43
... dada anaonyesha ana chochote kichwani mwake , hawa ndiyo wale D.K. ( Donge Kubwa ) —anaweza kunisitiri huyu . " Walipofika sinema , Ruth akamwomba dereva wote waingie pichani . Mhuni akashukuru sana maana alikwishapata mahali pa ...

Other editions - View all
Common terms and phrases
Afrika ya Mashariki Ahmed aina ajabu akaanza akamjibu akaona heri akasema akasikia alianza aliona Alipofika alipokuwa aliyekuwa ambaye atakuwa baba bahati bali barazani barua bastola Bi mkongwe biashara chache chochote dada dereva fisi gari ghafla giza hakujali halafu haraka huku ikawa iliyokuwa ingawa Inspekta Kapera jasho jembamba Jinamizi jinsi jitokeze John joka Nondo Joyce Jumamosi Kamene kamwe kijana kikutani kile kikuta Kioko kisha Kisimba Korogwe kuanza kufikiri kuingia ndani kumweleza kwakuwa kwenda Kyalo lile Longman macho magaidi maiti makachero Makevo mali mara mbele Mbeya mbio mchumba mfalme wa Wanyakyusa mganga mikono mjini mkongwe mlango mlangoni mle nyumbani Mnazimajini motokaa moyoni mwake mpenzi mpenziwe mradi msichana mtoto mtungi Mwana hamrithi babaye Mwanza Naam Nairobi naye Nondo nyumbani kwao P.O. Box pombe Pongwe punde radi Ruth alikuwa Sadik sauti shujaa starehe tano tatu tetesi tochi upelelezi usiku wageni wala wasi wasi Wayua wazee yoyote Yusufu zake zile