From inside the book
Results 1-3 of 7
Page 25
Siku moja Kisimba alipokuwa amelala usingizi mzito aliota juu ya arusi yake na
kwamba alioa binti mzuri sana sana . Alionyeshwa katika ndoto sura za yule binti
mwenyewe na kuambiwa nchi anakoishi na atakakompata . Yule binti ...

Page 26
watatu na kwenda katika nchi ya Wanyakyusa ili aweze kufanya mashauri ya
kumwoa binti mfalme . Alisafiri kwa muda wa siku saba na hatimae akafika
kwenye nchi ya Wanyakyusa . Alipoingia katika mji huo mkuu alikaribishwa vema
sana ...

Page 37
Binti huyo alizaliwa katika ukoo wa kifalme na wa kitajiri . Kwa hiyo , baba yake
alikuwa na nafasi hata ikambidi kuoa wake kumi na wawili . Pia hakukosa
kumtimizia bintiye mahitaji yote yaliyohusu elimu maana alijua kwamba yeye
ndiye ...

What people are saying - Write a review
We haven't found any reviews in the usual places.
Contents
Mbio za Sakafuni | 1 |
Mwana Hamrithi Babaye | 12 |
Kisimba Shujaa | 23 |
Copyright | |
1 other sections not shown
Other editions - View all
Common terms and phrases
Ahmed aina ajabu akaanza akamjibu akaona akawa akiwa alianza alikuwa aliona Alipofika alipokuwa aliyekuwa ambaye asubuhi atakuwa baba bado bahati bali barazani barua biashara binti chache dada dereva fisi gari ghafla giza halafu haraka heri hofu huku huyo huyu ikawa iliyokuwa ingawa Inspekta Kapera jasho Jinamizi jinsi John joka Nondo kabla Kamene kamwe karibu kati kiasi kijana kikuta kile kimya Kioko kisha Kisimba kuanza kuelekea kufikiri kuingia kumi kumwoa kuona kupiga kusikia kwakuwa kwani kwenda lile Longman macho magaidi maisha mali mama mara mbele mbio mfalme mganga mikono mjini mkongwe mkubwa mlango mlangoni mle nyumbani Mnazimajini moyo moyoni mpenzi msichana mtoto mwake Mwana mwenye mwenyewe mwingine mwisho Naam Nairobi naye ndani ndiye nguvu Nondo nyuma nyumbani nzima pale pombe Pongwe punde Ruth Sadik safari sauti tangu tayari upande upelelezi usiku wageni wala wangu wasi wasi wawili Wayua wazee wewe yale yoyote Yusufu zake