Vituko dunianiLongman, 1970 - 43 pages |
From inside the book
Results 1-3 of 3
Page 1
... bastola . Yusufu akashtuka sana , moyo ukaanza kumdunda dunda , akili zikamduru ; akawaza , " Hawa watu siwajui nao ni wageni hapa ; kwa nini wananionyesha bastola ? Mali zangu zinachukuliwa kwa nguvu , jamii yangu itapata taabu na mimi ...

Page 2
... bastola yake mkononi , " Bwana Yusufu simama , inua mikono juu na wala usiguse chochote mezani - haraka , ama sivyo mwanzi huu utakufyatukia . " Yusufu huku akitetemeka aliinuka na kutenda kama vile alivyoamriwa . Gaidi mmoja akamwambia ...

Page 3
... bastola yake kwenye droo lakini wapii ! Alipoishika mkononi tu akasikia wale magaidi wakiifyatua yao ; risasi ikampenya hadi moyoni . Yusufu akanyong'o- nyea taratibu na kuegamia mezani halafu akawa maiti ! Wale magaidi walipoona kwamba ...

Other editions - View all
Common terms and phrases
Afrika ya Mashariki Ahmed aina ajabu akaanza akamjibu akaona heri akasema akasikia alianza aliona Alipofika alipokuwa aliyekuwa ambaye atakuwa baba bahati bali barazani barua bastola Bi mkongwe biashara chache chochote dada dereva fisi gari ghafla giza hakujali halafu haraka huku ikawa iliyokuwa ingawa Inspekta Kapera jasho jembamba Jinamizi jinsi jitokeze John joka Nondo Joyce Jumamosi Kamene kamwe kijana kikutani kile kikuta Kioko kisha Kisimba Korogwe kuanza kufikiri kuingia ndani kumweleza kwakuwa kwenda Kyalo lile Longman macho magaidi maiti makachero Makevo mali mara mbele Mbeya mbio mchumba mfalme wa Wanyakyusa mganga mikono mjini mkongwe mlango mlangoni mle nyumbani Mnazimajini motokaa moyoni mwake mpenzi mpenziwe mradi msichana mtoto mtungi Mwana hamrithi babaye Mwanza Naam Nairobi naye Nondo nyumbani kwao P.O. Box pombe Pongwe punde radi Ruth alikuwa Sadik sauti shujaa starehe tano tatu tetesi tochi upelelezi usiku wageni wala wasi wasi Wayua wazee yoyote Yusufu zake zile