From inside the book
Results 1-3 of 8
Page 3
Alipokuwa akienda , mara akashtukia amepigwa konde moja shingoni na
hakuweza kusimama bali alianguka chini na alipotaka kuinuka , akachapwa
bakora ya bega ; lakini kwakuwa na yeye alikuwa mjuzi wa makonde na michezo
ya Judo ...

Page 21
Mbisho wa mlango ukazidi na wakati huu sikuweza kustahamili bali nalijibu , “
Karibu , nakungojea tuonane ! ” Nadhani kitu kiliingia ndani maana giza
lilikusanyika kwa umbo la mtu na kujisogeza mpaka kikutani . Nalipoona haya ,
mdomo ...

Page 25
... anazieneza habari zile za wao kukutana na joka Nondo bila kudhurika kwa
msemo wake na kwamba Kisimba hakuogopa bali alizungumza na joka Nondo
ingawa wenzie wote walizimia halafu joka Nondo likaenda zake bila kuwadhuru .

What people are saying - Write a review
We haven't found any reviews in the usual places.
Contents
Mbio za Sakafuni | 1 |
Mwana Hamrithi Babaye | 12 |
Kisimba Shujaa | 23 |
Copyright | |
1 other sections not shown
Other editions - View all
Common terms and phrases
Ahmed aina ajabu akaanza akamjibu akaona akawa akiwa alianza alikuwa aliona Alipofika alipokuwa aliyekuwa ambaye askari asubuhi atakuwa baba bado bahati bali barazani barua biashara binti chache dada dereva fisi gari ghafla giza halafu haraka heri hofu huku huyo huyu ikawa iliyokuwa ingawa Inspekta Kapera jasho Jinamizi jinsi John joka Nondo kabla Kamene kamwe karibu kiasi kifo kijana kikuta kile kimya Kioko kisha Kisimba kuanza kuelekea kufikiri kuingia kumi kuona kupiga kusikia kwakuwa kwani kwenda lile Longman macho magaidi maisha mali mama mara mbele mbio mfalme mganga mikono mjini mkongwe mkubwa mlango mlangoni mle nyumbani Mnazimajini moyo moyoni mpenzi msichana mtoto mwake Mwana mwenye mwenyewe mwingine mwisho Naam Nairobi naye ndani ndiye nguvu Nondo nyuma nyumbani pale pombe Pongwe punde Ruth Sadik safari sauti tangu tayari upande upelelezi usiku wageni wala wangu Wanyakyusa wasi wasi wawili Wayua wazee wewe yale yoyote Yusufu zake