Vituko dunianiLongman, 1970 - 43 pages |
From inside the book
Results 1-3 of 6
Page 14
... bahati tu ; wale waliokuwamo merikebuni wakamwona Ahmed . Akaokolewa . Baada ya mapumziko kidogo mle melini akajiona kati ya mabaharia waliojaa imani na huruma juu yake ingawa wote waliojaribu kuzungumza naye hawakuweza kueleana lugha ...

Page 18
... Bahati njema , chini kulikuwa na msumari , nikauokota , nikaukomea kufulini na saa ile ile kufuli likafunguka nikaingia ndani . Nalipoingia ndani naliona kwamba nalikuwa nimekabiliwa na lango la ukumbini ambalo nalilipita kwa taratibu ...

Page 41
... Bahati mbaya hakupewa nyumba ya serikali wala hakupata nyumba ya kupangishwa maana alikuwa hamjui mtu yeyote . Kwa muda wa wiki mbili , Ruth alijipa- chika pachika kwa dereva aliyekuwa akifanya kazi pamoja naye . Siku moja Ruth aliona ...

Other editions - View all
Common terms and phrases
Afrika ya Mashariki Ahmed aina ajabu akaanza akamjibu akaona heri akasema akasikia alianza aliona Alipofika alipokuwa aliyekuwa ambaye atakuwa baba bahati bali barazani barua bastola Bi mkongwe biashara chache chochote dada dereva fisi gari ghafla giza hakujali halafu haraka huku ikawa iliyokuwa ingawa Inspekta Kapera jasho jembamba Jinamizi jinsi jitokeze John joka Nondo Joyce Jumamosi Kamene kamwe kijana kikutani kile kikuta Kioko kisha Kisimba Korogwe kuanza kufikiri kuingia ndani kumweleza kwakuwa kwenda Kyalo lile Longman macho magaidi maiti makachero Makevo mali mara mbele Mbeya mbio mchumba mfalme wa Wanyakyusa mganga mikono mjini mkongwe mlango mlangoni mle nyumbani Mnazimajini motokaa moyoni mwake mpenzi mpenziwe mradi msichana mtoto mtungi Mwana hamrithi babaye Mwanza Naam Nairobi naye Nondo nyumbani kwao P.O. Box pombe Pongwe punde radi Ruth alikuwa Sadik sauti shujaa starehe tano tatu tetesi tochi upelelezi usiku wageni wala wasi wasi Wayua wazee yoyote Yusufu zake zile