From inside the book
Results 1-3 of 3
Page 15
Siku ya pili asubuhi gari nzuri sana ilisimama mlangoni pa yule kijana aliyekuwa tarishi ! Hapo basi , akaelekea ofisini kwake na kuchukua madaraka yake mapya . Alasiri moja tulivu kama ilivyokuwa ada yake , Ahmed alitoka nyumbani na ...

Page 35
Asubuhi yake , wake kwa waume wakaanza majenzi ya nyumba chapuchapu . Baada ya siku tano nyumba madhubuti ikasimama tayari kuhamiwa . Ndipo Jinamizi akatangaza siku maalumu ya kuiandaa karamu tukufu . Hauchi ! Hauchi !

Page 43
Kulipokucha asubuhi , Ruth akapelekwa kazini na kuahidiwa kuchukuliwa baada ya kazi . Saa zilipotimia , mhuni akachoma mafuta hadi kazini kwa Ruth akamkuta Ruth akingoja , wakachukuana mpaka kibandani kwao .

What people are saying - Write a review
We haven't found any reviews in the usual places.
Contents
Mbio za Sakafuni | 1 |
Ajuta Majuto ya Mjukuu | 2 |
Mwana Hamrithi Babaye | 12 |
Copyright | |
5 other sections not shown
Other editions - View all
Common terms and phrases
Ahmed aina ajabu akaanza akamjibu akaona akawa akiwa alianza alikuwa aliona Alipofika alipokuwa aliyekuwa ambaye askari asubuhi atakuwa baba bado bahati bali barazani barua biashara binti chache dada dereva fisi gari ghafla giza halafu haraka heri hofu huku huyo huyu ikawa iliyokuwa ingawa Inspekta Kapera jasho Jinamizi jinsi John joka Nondo kabla Kamene kamwe karibu kati kiasi kijana kikuta kile kimya Kioko kisha Kisimba kuanza kuelekea kufikiri kuingia kumi kuona kupiga kusikia kwakuwa kwani kwenda lile Longman macho magaidi maisha mali mama mara mbele mbio mfalme mganga mikono mjini mkongwe mkubwa mlango mlangoni mle nyumbani Mnazimajini moyo moyoni mpenzi msichana mtoto mwake Mwana mwenye mwenyewe mwingine mwisho Naam Nairobi naye ndani ndipo ndiye nguvu Nondo nyuma nyumbani pale pombe Pongwe punde Ruth Sadik safari sauti tangu tayari upande upelelezi usiku wageni wala wangu wasi wasi wawili Wayua wazee wewe yale yoyote Yusufu zake