From inside the book
Results 1-3 of 7
Page 12
Baada ya mwaka mmoja , Bwana Ali alisadifu mganga wa Kisomali , Sadik , ambaye alikuja Pongwe kwa musimu wa biashara . Akaelezwa kwa urefu hali ya Ahmed ambaye hivi sasa alidhofu sana . Sadik alikubali kuingia kilingeni na kuanza kazi ...

Page 14
Lakini kwa bahati njema akatokea mmoja wa wale mabaharia ambaye aliweza kusema naye kwa Kipongwe . Baharia huyo aliwashauri wenzake kuwa ingekuwa bora kama wangelimteremsha Ahmed katika bandari ya mji wa Mtongwe , mji ambao ustaarabu ...

Page 15
Siku moja yule mganga wa Kisomali Sadik ambaye ndiye aliyekuwa mlezi wa Ahmed , mtoto wa Bwana Ali , alikuwa katika misafara yake ya kibiashara kwa wakati ule ; alipitia Pongwe kuonana na sahibu wake . Lakini badala ya duka zuri na ...

What people are saying - Write a review
We haven't found any reviews in the usual places.
Contents
Mbio za Sakafuni | 1 |
Ajuta Majuto ya Mjukuu | 2 |
Mwana Hamrithi Babaye | 12 |
Copyright | |
5 other sections not shown
Other editions - View all
Common terms and phrases
Ahmed aina ajabu akaanza akamjibu akaona akawa akiwa alianza alikuwa aliona Alipofika alipokuwa aliyekuwa ambaye askari asubuhi atakuwa baba bado bahati bali barazani barua biashara binti chache dada dereva fisi gari ghafla giza halafu haraka heri hofu huku huyo huyu ikawa iliyokuwa ingawa Inspekta Kapera jasho Jinamizi jinsi John joka Nondo kabla Kamene kamwe karibu kati kiasi kijana kikuta kile kimya Kioko kisha Kisimba kuanza kuelekea kufikiri kuingia kumi kuona kupiga kusikia kwakuwa kwani kwenda lile Longman macho magaidi maisha mali mama mara mbele mbio mfalme mganga mikono mjini mkongwe mkubwa mlango mlangoni mle nyumbani Mnazimajini moyo moyoni mpenzi msichana mtoto mwake Mwana mwenye mwenyewe mwingine mwisho Naam Nairobi naye ndani ndipo ndiye nguvu Nondo nyuma nyumbani pale pombe Pongwe punde Ruth Sadik safari sauti tangu tayari upande upelelezi usiku wageni wala wangu wasi wasi wawili Wayua wazee wewe yale yoyote Yusufu zake