From inside the book
Results 1-3 of 12
Page 6
Kamene hakutosheka wala hakuridhika . Alifahamu kwa yakini kwamba dada
yake hakuwa yule msichana aliyekuwa akimfahamu - mzuri , mcheshi na
aliyekuwa na mawazo ya busara wakati wote . Kweli , Wayua alikuwa
amebadilika ; jambo ...

Page 15
Jambo aliloambiwa na yule mgeni lilimshangaza sana na alijihisi kama mtu
aliyekuwa katika ndoto ya mchana maana aliombwa aache kazi yake ya utarishi
na badala yake awe mwangalizi wa kampuni ya yule bwana . Mara Ahmed
alikubali ...

Page 17
Mafundi walipogeuka kumwangalia yule Bi mkongwe walimwona ameanguka ,
hana fahamu , anagaagaa na povu lilikuwa likimtoka kinywani . Pale pale fundi
mmoja akatoka mbio na kwenda kumwita mganga mmoja aliyekuwa akisifika ...

What people are saying - Write a review
We haven't found any reviews in the usual places.
Contents
Mbio za Sakafuni | 1 |
Mwana Hamrithi Babaye | 12 |
Kisimba Shujaa | 23 |
Copyright | |
1 other sections not shown
Other editions - View all
Common terms and phrases
Ahmed aina ajabu akaanza akamjibu akaona akawa akiwa alianza alikuwa aliona Alipofika alipokuwa aliyekuwa ambaye askari asubuhi atakuwa baba bado bahati bali barazani barua biashara binti chache dada dereva fisi gari ghafla giza halafu haraka heri hofu huku huyo huyu ikawa iliyokuwa ingawa Inspekta Kapera jasho Jinamizi jinsi John joka Nondo kabla Kamene kamwe karibu kiasi kifo kijana kikuta kile kimya Kioko kisha Kisimba kuanza kuelekea kufikiri kuingia kumi kuona kupiga kusikia kwakuwa kwani kwenda lile Longman macho magaidi maisha mali mama mara mbele mbio mfalme mganga mikono mjini mkongwe mkubwa mlango mlangoni mle nyumbani Mnazimajini moyo moyoni mpenzi msichana mtoto mwake Mwana mwenye mwenyewe mwingine mwisho Naam Nairobi naye ndani ndiye nguvu Nondo nyuma nyumbani pale pombe Pongwe punde Ruth Sadik safari sauti tangu tayari upande upelelezi usiku wageni wala wangu Wanyakyusa wasi wasi wawili Wayua wazee wewe yale yoyote Yusufu zake