Vituko dunianiLongman, 1970 - 43 pages |
From inside the book
Results 1-3 of 9
Page 4
... Alipokuwa akifikiri afanyeje juu ya upelelezi ule , akasikia sauti ikimwambia , “ Jana mlipata kitisho kidogo tu cha kuuacha upelelezi huu . " Aliposikia hivyo , jasho lilianza kumtoka na hofu ikawa karibu kumtawala lakini akakumbuka ...

Page 9
... alipokuwa akienda Nairobi akakutana na kijana mmoja mrembo sana , Kioko ; lakini sasa alikuwa na wasi wasi kwa kusikia maneno ya mama yake na pia wale wageni waliokuwa wakiongea na baba yake mle nyumbani . Kamene aliwahi kuingia mara ...

Page 16
... alipokuwa kijitoni ilikuwa nzuri sana . Watu wengi walianza kushukuru kwani aliiacha ile tabia yake ya kukaa kimya pekee na kuanza kuchangamana na watu kwa kila hali . Mwana akampokea babake bila kumkumbuka na kwa kuwa Bwana Ali alikuwa ...

Contents
Mbio za Sakafuni | 1 |
Mwana Hamrithi Babaye | 12 |
Kisimba Shujaa | 23 |
Copyright | |
1 other sections not shown
Other editions - View all
Common terms and phrases
Ahmed aina ajabu akaanza akamjibu akaona akawa akiwa alianza alikuwa aliona Alipofika alipokuwa aliyekuwa ambaye asubuhi atakuwa baba bado bahati bali barazani barua biashara binti chache dada dereva fisi gari ghafla giza halafu haraka heri hofu huku huyo huyu ikawa iliyokuwa ingawa Inspekta Kapera jasho Jinamizi jinsi John joka Nondo kabla Kamene kamwe karibu kati kawaida kiasi kijana kikuta kile kimya Kioko kisha Kisimba kuanza kuelekea kufikiri kuingia kumi kumwoa kuona kupiga kusikia kwakuwa kwani kwenda lile Longman macho magaidi mali mama mara mbele mbio mfalme mganga mikono mjini mkongwe mkubwa mlango mlangoni mle nyumbani Mnazimajini moyo moyoni mpenzi msichana mtoto mwake Mwana mwenye mwenyewe mwingine mwisho Naam Nairobi naye ndani ndiye nguvu Nondo nyuma nyumbani pale pombe Pongwe punde Ruth Sadik safari sauti tangu tayari upande upelelezi usiku wageni wala wangu wasi wasi wawili Wayua wazee wewe yale yoyote Yusufu zake