From inside the book
Results 1-3 of 9
Page 17
Yule mganga alipofika na kupiga ramli yake aliona kwamba ile hirizi ni lazima
irudishwe pale pale penye kile kikuta na kikuta lazima kijengwe tena . Basi
aliwaamuru wale mafundi kufanya hivyo na halafu yule Bi mkongwe
akahamishwa pale ...

Page 37
Uongozi wake ukafana mno na kuleta maendeleo makubwa . Kwakuwa akili
nyingi huondoa maarifa , Ruth aliona maisha ya kukaa kijijini hayakumfaa
maana alikuwa ni msichana mwenye elimu na madaraka . Basi akaamua
kuhamia mjini ...

Page
Siku moja Ruth aliona ukiwa sana hata akafikiria kwenda sinema ili kupoteza
wakati . Akakodisha taxi ya kumpeleka na kumrudisha nyumbani . Njiani dereva
huyo wa taxi alivutiwa sana na sura pamoja na umbo la Ruth , akaona angalao ...

What people are saying - Write a review
We haven't found any reviews in the usual places.
Contents
Mbio za Sakafuni | 1 |
Mwana Hamrithi Babaye | 12 |
Kisimba Shujaa | 23 |
Copyright | |
1 other sections not shown
Other editions - View all
Common terms and phrases
Ahmed aina ajabu akaanza akamjibu akaona akawa akiwa alianza alikuwa aliona Alipofika alipokuwa aliyekuwa ambaye askari asubuhi atakuwa baba bado bahati bali barazani barua biashara binti chache dada dereva fisi gari ghafla giza halafu haraka heri hofu huku huyo huyu ikawa iliyokuwa ingawa Inspekta Kapera jasho Jinamizi jinsi John joka Nondo kabla Kamene kamwe karibu kiasi kifo kijana kikuta kile kimya Kioko kisha Kisimba kuanza kuelekea kufikiri kuingia kumi kuona kupiga kusikia kwakuwa kwani kwenda lile Longman macho magaidi maisha mali mama mara mbele mbio mfalme mganga mikono mjini mkongwe mkubwa mlango mlangoni mle nyumbani Mnazimajini moyo moyoni mpenzi msichana mtoto mwake Mwana mwenye mwenyewe mwingine mwisho Naam Nairobi naye ndani ndiye nguvu Nondo nyuma nyumbani pale pombe Pongwe punde Ruth Sadik safari sauti tangu tayari upande upelelezi usiku wageni wala wangu Wanyakyusa wasi wasi wawili Wayua wazee wewe yale yoyote Yusufu zake