From inside the book
Results 1-3 of 22
Page 9
Maneno haya yalikuwa mithili ya sumu moyoni mwa Kamene lakini alikuwa hana
nafasi wala uwezo wa kushindana na mama yake ; maana ilikuwa kama jana tu
alipokuwa akienda Nairobi akakutana na kijana mmoja mrembo sana , Kioko ...

Page 25
Kisimba alikuwa hajaoa bado . Siku moja Kisimba alipokuwa amelala usingizi
mzito aliota juu ya arusi yake na kwamba alioa binti mzuri sana sana .
Alionyeshwa katika ndoto sura za yule binti mwenyewe na kuambiwa nchi
anakoishi na ...

Page 37
8 Maisha Yalimwendea Kombo B . G . Isaakwisa Ruth alikuwa msichana
aliyezaliwa katika kijiji kimoja cha mashambani kilichoitwa Kipembawe ;
magharibi ya kusini ya Tanzania . Kipembawe pia kilikuwa kituo cha motakaa
kilichokuwa ...

What people are saying - Write a review
We haven't found any reviews in the usual places.
Contents
Mbio za Sakafuni | 1 |
Mwana Hamrithi Babaye | 12 |
Kisimba Shujaa | 23 |
Copyright | |
1 other sections not shown
Other editions - View all
Common terms and phrases
Ahmed aina ajabu akaanza akamjibu akaona akawa akiwa alianza alikuwa aliona Alipofika alipokuwa aliyekuwa ambaye askari asubuhi atakuwa baba bado bahati bali barazani barua biashara binti chache dada dereva fisi gari ghafla giza halafu haraka heri hofu huku huyo huyu ikawa iliyokuwa ingawa Inspekta Kapera jasho Jinamizi jinsi John joka Nondo kabla Kamene kamwe karibu kiasi kifo kijana kikuta kile kimya Kioko kisha Kisimba kuanza kuelekea kufikiri kuingia kumi kuona kupiga kusikia kwakuwa kwani kwenda lile Longman macho magaidi maisha mali mama mara mbele mbio mfalme mganga mikono mjini mkongwe mkubwa mlango mlangoni mle nyumbani Mnazimajini moyo moyoni mpenzi msichana mtoto mwake Mwana mwenye mwenyewe mwingine mwisho Naam Nairobi naye ndani ndiye nguvu Nondo nyuma nyumbani pale pombe Pongwe punde Ruth Sadik safari sauti tangu tayari upande upelelezi usiku wageni wala wangu Wanyakyusa wasi wasi wawili Wayua wazee wewe yale yoyote Yusufu zake