Vituko dunianiLongman, 1970 - 43 pages |
From inside the book
Results 1-3 of 22
Page 9
... alikuwa hana nafasi wala uwezo wa kushindana na mama yake ; maana ilikuwa kama jana tu alipokuwa akienda Nairobi akakutana na kijana mmoja mrembo sana , Kioko ; lakini sasa alikuwa na wasi wasi kwa kusikia maneno ya mama yake na pia ...

Page 14
... alikuwa ametia fora katika mji mzima . Ilikuwa siku moja , siku ya tamasha kubwa ambayo haijapata kufanyika mjini humo , Ahmed alipokuwa akitoka kwa mkuu wa mji huo ambako alikuwa amealikwa shughuli maalumu ya kuiadhimisha siku hiyo ...

Page 37
... alikuwa mtii na mnyenyekevu mbele ya wakuu wake . Aliaminika sana na majirani kijijini pao . Alikuwa na moyo wa kupenda starehe ingawa hakuthubutu kujiingiza maana alitambua kuwa kufanya hivyo ndio mwanzo wa kuharibu maisha yake . Hofu ...

Other editions - View all
Common terms and phrases
Afrika ya Mashariki Ahmed aina ajabu akaanza akamjibu akaona heri akasema akasikia alianza aliona Alipofika alipokuwa aliyekuwa ambaye atakuwa baba bahati bali barazani barua bastola Bi mkongwe biashara chache chochote dada dereva fisi gari ghafla giza hakujali halafu haraka huku ikawa iliyokuwa ingawa Inspekta Kapera jasho jembamba Jinamizi jinsi jitokeze John joka Nondo Joyce Jumamosi Kamene kamwe kijana kikutani kile kikuta Kioko kisha Kisimba Korogwe kuanza kufikiri kuingia ndani kumweleza kwakuwa kwenda Kyalo lile Longman macho magaidi maiti makachero Makevo mali mara mbele Mbeya mbio mchumba mfalme wa Wanyakyusa mganga mikono mjini mkongwe mlango mlangoni mle nyumbani Mnazimajini motokaa moyoni mwake mpenzi mpenziwe mradi msichana mtoto mtungi Mwana hamrithi babaye Mwanza Naam Nairobi naye Nondo nyumbani kwao P.O. Box pombe Pongwe punde radi Ruth alikuwa Sadik sauti shujaa starehe tano tatu tetesi tochi upelelezi usiku wageni wala wasi wasi Wayua wazee yoyote Yusufu zake zile