Vituko duniani |
From inside the book
Results 1-3 of 4
Page 11
Kioko alipomwona hali yake si nzuri, akaona heri ampeleke haraka hospitalini.
Kwa haraka akamwingiza ndani ya motokaa yake na kumpeleka hospitalini.
Kamene akapokelewa vema kule hospitali na matibabu yakaanza saa ile ile;
lakini ...

Page 41
Siku ya kuondoka walimsindikiza vema na kumtakia heri. Alipofika Dar es
Salaam, Ruth ... Njiani dereva huyo wa taxi alivutiwa sana na sura pamoja na
umbo la Ruth, akaona angalao amsemeshe kidogo. Akamwuliza, "Je ! Dada,
wewe ni ...

Page 44
Mwishowe akaona heri azurure zurure kwenye mabaa labda angebahatisha
kupata mtu mwenye huruma wa kumsai- dia. Alipoingia katika baa moja kwa
bahati akaitwa na 'Naizesheni' mmoja ambaye alisema angependa waende
pwani ...

What people are saying - Write a review
We haven't found any reviews in the usual places.
Contents
Mbio za Sakafuni | 1 |
Ajuta Majuto ya Mjukuu | 6 |
Mwana Hamrithi Babaye | 12 |
Copyright | |
5 other sections not shown
Other editions - View all
Common terms and phrases
Afrika ya Mashariki Ahmed aina ajabu akaanza akamjibu akaona heri akasema akasikia alianza aliona Alipofika alipokuwa aliyekuwa ambaye atakuwa baba bahati bali barazani barua bastola Bi mkongwe biashara chache chochote dada dereva fisi gari ghafla giza hakujali halafu haraka huku ikawa iliyokuwa ingawa Inspekta Kapera jasho jembamba Jinamizi jitokeze John Joyce Jumamosi Kamene kamwe kijana kikutani kile kikuta Kioko kisha Kisimba Korogwe kuanza kufikiri kuingia ndani kumweleza kumwoa binti kwakuwa kwenda Kyalo lile Longman macho magaidi maiti makachero Makevo mali mara mbele Mbeya mbio mchumba mfalme wa Wanyakyusa mganga mikono mjini mkongwe mlango mlangoni mle nyumbani Mnazimajini motokaa Moyo wangu moyoni mwake mpenzi mpenziwe mradi msichana mtoto Mwana hamrithi babaye Mwanza Naam Nairobi naye Nondo nyumbani kwao P.O. Box pombe Pongwe punde radi Ruth alikuwa Sadik sauti shujaa starehe tano tatu tetesi tochi upelelezi usiku wageni wala wasi wasi Wayua wazee yoyote Yusufu zake zile