From inside the book
Results 1-3 of 5
Page 11
Kioko alipomwona hali yake si nzuri , akaona heri ampeleke haraka hospitalini .
Kwa haraka akamwingiza ndani ya motokaa yake na kumpeleka hospitalini .
Kamene akapokelewa vema kule hospitali na matibabu yakaanza saa ile ile ;
lakini ...

Page 15
Punde si punde akaona moshi mwembamba kwa mbali sana ukitambaa na
kuelekea pale alipokuwapo . Moshi ule ulipofika pale ulibadilika na kuwa
pandikizi la jitu jeupe sana lililokuwa na wasifu uliofanana na mtu mmoja
aliyemfahamu ...

Page
Njiani dereva huyo wa taxi alivutiwa sana na sura pamoja na umbo la Ruth ,
akaona angalao amsemeshe kidogo . Akamwuliza , “ Je ! Dada , wewe ni mkaaji
wa hapa hapa mjini , mbona hata siku moja sijakuona ? ” Ruth akamjibu , “ Mimi
ni ...

What people are saying - Write a review
We haven't found any reviews in the usual places.
Contents
Mbio za Sakafuni | 1 |
Mwana Hamrithi Babaye | 12 |
Kisimba Shujaa | 23 |
Copyright | |
1 other sections not shown
Other editions - View all
Common terms and phrases
Ahmed aina ajabu akaanza akamjibu akaona akawa akiwa alianza alikuwa aliona Alipofika alipokuwa aliyekuwa ambaye askari asubuhi atakuwa baba bado bahati bali barazani barua biashara binti chache dada dereva fisi gari ghafla giza halafu haraka heri hofu huku huyo huyu ikawa iliyokuwa ingawa Inspekta Kapera jasho Jinamizi jinsi John joka Nondo kabla Kamene kamwe karibu kiasi kifo kijana kikuta kile kimya Kioko kisha Kisimba kuanza kuelekea kufikiri kuingia kumi kuona kupiga kusikia kwakuwa kwani kwenda lile Longman macho magaidi maisha mali mama mara mbele mbio mfalme mganga mikono mjini mkongwe mkubwa mlango mlangoni mle nyumbani Mnazimajini moyo moyoni mpenzi msichana mtoto mwake Mwana mwenye mwenyewe mwingine mwisho Naam Nairobi naye ndani ndiye nguvu Nondo nyuma nyumbani pale pombe Pongwe punde Ruth Sadik safari sauti tangu tayari upande upelelezi usiku wageni wala wangu Wanyakyusa wasi wasi wawili Wayua wazee wewe yale yoyote Yusufu zake