Vituko dunianiLongman, 1970 - 43 pages |
From inside the book
Results 1-3 of 8
Page 1
... ajabu . Walipokuwa wakiingia kwa kunyemelea nyemelea , ghafla walikutana na kisura mmoja aliyekuwa karani wa Yusufu ; naye alipotaka kusema tu , alikotwa kwa kitako cha bastola kichwani na akapotewa na fahamu- akaanguka chini akalala ...

Page 16
... ajabu mno kwani alijiona kama miaka kumi na mitano iliyopita wakati alipokuwa na Sadik ugangani mwa mwanawe Ahmed . Pia alimsikia Bwana Sadik akimsihi namna ile ile kuwa asimruhusu mtoto wake kufanya biashara kamwe . ya Mara alipoamka ...

Page 17
4 Jini ni Nini ? Hassan Marshad Kwetu si ajabu kumsikia mtu akihadithia barazani jinsi yeye mwenyewe , baba zake au babu na babu zake walivyopambana na vioja vya mashetani na kuweza kuepuka salama . Pia , kwetu matamko kama zimwi , jini ...

Other editions - View all
Common terms and phrases
Afrika ya Mashariki Ahmed aina ajabu akaanza akamjibu akaona heri akasema akasikia alianza aliona Alipofika alipokuwa aliyekuwa ambaye atakuwa baba bahati bali barazani barua bastola Bi mkongwe biashara chache chochote dada dereva fisi gari ghafla giza hakujali halafu haraka huku ikawa iliyokuwa ingawa Inspekta Kapera jasho jembamba Jinamizi jinsi jitokeze John joka Nondo Joyce Jumamosi Kamene kamwe kijana kikutani kile kikuta Kioko kisha Kisimba Korogwe kuanza kufikiri kuingia ndani kumweleza kwakuwa kwenda Kyalo lile Longman macho magaidi maiti makachero Makevo mali mara mbele Mbeya mbio mchumba mfalme wa Wanyakyusa mganga mikono mjini mkongwe mlango mlangoni mle nyumbani Mnazimajini motokaa moyoni mwake mpenzi mpenziwe mradi msichana mtoto mtungi Mwana hamrithi babaye Mwanza Naam Nairobi naye Nondo nyumbani kwao P.O. Box pombe Pongwe punde radi Ruth alikuwa Sadik sauti shujaa starehe tano tatu tetesi tochi upelelezi usiku wageni wala wasi wasi Wayua wazee yoyote Yusufu zake zile