Vituko dunianiLongman, 1970 - 43 pages |
From inside the book
Results 1-3 of 6
Page 37
... Ruth alikuwa mtii na mnyenyekevu mbele ya wakuu wake . Aliaminika sana na majirani kijijini pao . Alikuwa na moyo wa kupenda starehe ingawa hakuthubutu kujiingiza maana alitambua kuwa kufanya hivyo ndio mwanzo wa kuharibu maisha yake ...

Page 38
... Ruth kusahau kabisa mipango ya kugawanya mali kule nyumbani kwao . Kule nyumbani , ng'ombe na mbuzi walichukuliwa ... alikuwa akiitwa Ben . Alimwandikia Ruth barua ya kumwarifu kwamba angekuwa mgeni wake siku ya Jumamosi . Ruth ...

Page 43
... Ruth akamwomba dereva wote waingie pichani . Mhuni akashukuru sana maana alikwishapata mahali pa mteremko ! Picha ... alikuwa na zaidi ya shilingi elfu tatu za kumnunulia vifaa vya nyumbani . Basi dereva akasema , " Ala ! Mimi niko tayari ...

Other editions - View all
Common terms and phrases
Afrika ya Mashariki Ahmed aina ajabu akaanza akamjibu akaona heri akasema akasikia alianza aliona Alipofika alipokuwa aliyekuwa ambaye atakuwa baba bahati bali barazani barua bastola Bi mkongwe biashara chache chochote dada dereva fisi gari ghafla giza hakujali halafu haraka huku ikawa iliyokuwa ingawa Inspekta Kapera jasho jembamba Jinamizi jinsi jitokeze John joka Nondo Joyce Jumamosi Kamene kamwe kijana kikutani kile kikuta Kioko kisha Kisimba Korogwe kuanza kufikiri kuingia ndani kumweleza kwakuwa kwenda Kyalo lile Longman macho magaidi maiti makachero Makevo mali mara mbele Mbeya mbio mchumba mfalme wa Wanyakyusa mganga mikono mjini mkongwe mlango mlangoni mle nyumbani Mnazimajini motokaa moyoni mwake mpenzi mpenziwe mradi msichana mtoto mtungi Mwana hamrithi babaye Mwanza Naam Nairobi naye Nondo nyumbani kwao P.O. Box pombe Pongwe punde radi Ruth alikuwa Sadik sauti shujaa starehe tano tatu tetesi tochi upelelezi usiku wageni wala wasi wasi Wayua wazee yoyote Yusufu zake zile