Vituko dunianiLongman, 1970 - 43 pages |
From inside the book
Results 1-3 of 7
Page 38
... Ruth kusahau kabisa mipango ya kugawanya mali kule nyumbani kwao . Kule nyumbani , ng'ombe na mbuzi walichukuliwa ovyo ovyo na ndugu zake kwa manufaa ya kila mtu binafsi . Binti huyo alipogundua jambo hilo , alikwenda nyumbani kwao na ...

Page 41
... Ruth kwamba alipata barua ya uhamisho kwenda Mwanza . Ruth aliposikia hivyo , alifadhaika sana , alimhoji sana John na kumsihi kwamba ingefaa na yeye pia aache kazi ili wafuatane wote mpaka Mwanza wakaoane huko . John alikunja uso na ...

Page 43
... Ruth alithibitisha kuwa kweli chumba kile kilikuwa hakikaliwi na mtu maana kilikuwa kitupu isipokuwa godoro na shuka moja vili- vyolazwa sakafuni ; kumbe ni kitanda cha jamaa ! Dereva akamweleza Ruth kuwa yeye alikaa shambani ...

Contents
Mbio za Sakafuni | 1 |
Mwana Hamrithi Babaye | 12 |
Kisimba Shujaa | 23 |
Copyright | |
1 other sections not shown
Other editions - View all
Common terms and phrases
Ahmed aina ajabu akaanza akamjibu akaona akawa akiwa alianza alikuwa aliona Alipofika alipokuwa aliyekuwa ambaye asubuhi atakuwa baba bado bahati bali barazani barua biashara binti chache dada dereva fisi gari ghafla giza halafu haraka heri hofu huku huyo huyu ikawa iliyokuwa ingawa Inspekta Kapera jasho Jinamizi jinsi John joka Nondo kabla Kamene kamwe karibu kati kawaida kiasi kijana kikuta kile kimya Kioko kisha Kisimba kuanza kuelekea kufikiri kuingia kumi kumwoa kuona kupiga kusikia kwakuwa kwani kwenda lile Longman macho magaidi mali mama mara mbele mbio mfalme mganga mikono mjini mkongwe mkubwa mlango mlangoni mle nyumbani Mnazimajini moyo moyoni mpenzi msichana mtoto mwake Mwana mwenye mwenyewe mwingine mwisho Naam Nairobi naye ndani ndiye nguvu Nondo nyuma nyumbani pale pombe Pongwe punde Ruth Sadik safari sauti tangu tayari upande upelelezi usiku wageni wala wangu wasi wasi wawili Wayua wazee wewe yale yoyote Yusufu zake