Vituko dunianiLongman, 1970 - 43 pages |
From inside the book
Results 1-2 of 2
Page 1
... Korogwe kwa utajiri wake wa maduka na nyumba kadhaa . Ilikuwa siku ya Jumatano ya mwisho wa mwezi siku ambayo kazi huwa zimemtinga Yusufu mno kwakuwa ma - meneja wake wote ndipo wanapomletea fedha na hesabu zao za mwezi mzima juu ya ...

Page 3
... Korogwe . Watumbuizaji wa muziki walikuwa ni Ujamaa Jazz kutoka Tanga . Naam , jumba lilifurika kwa umati wa watu na hata kama mtu alikuwa anamtafuta mwenzie hangaliweza kumpata kamwe . Ilipofika saa nne za usiku , Inspekta Kapera ...

Other editions - View all
Common terms and phrases
Afrika ya Mashariki Ahmed aina ajabu akaanza akamjibu akaona heri akasema akasikia alianza aliona Alipofika alipokuwa aliyekuwa ambaye atakuwa baba bahati bali barazani barua bastola Bi mkongwe biashara chache chochote dada dereva fisi gari ghafla giza hakujali halafu haraka huku ikawa iliyokuwa ingawa Inspekta Kapera jasho jembamba Jinamizi jinsi jitokeze John joka Nondo Joyce Jumamosi Kamene kamwe kijana kikutani kile kikuta Kioko kisha Kisimba Korogwe kuanza kufikiri kuingia ndani kumweleza kwakuwa kwenda Kyalo lile Longman macho magaidi maiti makachero Makevo mali mara mbele Mbeya mbio mchumba mfalme wa Wanyakyusa mganga mikono mjini mkongwe mlango mlangoni mle nyumbani Mnazimajini motokaa moyoni mwake mpenzi mpenziwe mradi msichana mtoto mtungi Mwana hamrithi babaye Mwanza Naam Nairobi naye Nondo nyumbani kwao P.O. Box pombe Pongwe punde radi Ruth alikuwa Sadik sauti shujaa starehe tano tatu tetesi tochi upelelezi usiku wageni wala wasi wasi Wayua wazee yoyote Yusufu zake zile