From inside the book
Results 1-3 of 4
Page 25
Baada ya saa kadhaa , wale marafiki zake Kisimba wakazinduka na kuanza
kustaajabu kwamba kulitokea nini na kwa nini walikuwa wamelala vile .
Walishikwa na mshangao sana walipoona kwamba hawakudhurika hata kidogo .

Page 26
Kisimba alipokwisha pumzika alianza kuzungumza na mfalme na kumweleza
makusudio ya safari yake . Mfalme wa Wanyakyusa aliposikia madhumuni ya
safari ya Mfalme Kisimba ni kumwoa binti wake , alikubali lakini alimwambia , "
Joka ...

Page 27
Kisimba alipoona kuwa kila mahali pametulia , alisogea mbele na kwenda
kusema na joka Nondo akimwambia , “ Nakuamkia joka Nondo , mkali wa wakali
, hasidi wa mahasidi , mwovu wa waovu , unaeweza kutenda mema na mabaya .

What people are saying - Write a review
We haven't found any reviews in the usual places.
Contents
Mbio za Sakafuni | 1 |
Mwana Hamrithi Babaye | 12 |
Kisimba Shujaa | 23 |
Copyright | |
1 other sections not shown
Other editions - View all
Common terms and phrases
Ahmed aina ajabu akaanza akamjibu akaona akawa akiwa alianza alikuwa aliona Alipofika alipokuwa aliyekuwa ambaye askari asubuhi atakuwa baba bado bahati bali barazani barua biashara binti chache dada dereva fisi gari ghafla giza halafu haraka heri hofu huku huyo huyu ikawa iliyokuwa ingawa Inspekta Kapera jasho Jinamizi jinsi John joka Nondo kabla Kamene kamwe karibu kiasi kifo kijana kikuta kile kimya Kioko kisha Kisimba kuanza kuelekea kufikiri kuingia kumi kuona kupiga kusikia kwakuwa kwani kwenda lile Longman macho magaidi maisha mali mama mara mbele mbio mfalme mganga mikono mjini mkongwe mkubwa mlango mlangoni mle nyumbani Mnazimajini moyo moyoni mpenzi msichana mtoto mwake Mwana mwenye mwenyewe mwingine mwisho Naam Nairobi naye ndani ndiye nguvu Nondo nyuma nyumbani pale pombe Pongwe punde Ruth Sadik safari sauti tangu tayari upande upelelezi usiku wageni wala wangu Wanyakyusa wasi wasi wawili Wayua wazee wewe yale yoyote Yusufu zake