Vituko dunianiLongman, 1970 - 43 pages |
From inside the book
Results 1-3 of 5
Page 25
... Kisimba wakazinduka na kuanza kustaajabu kwamba kulitokea nini na kwa nini walikuwa wamelala vile . Walishikwa na mshangao sana walipoona kwamba hawakudhurika hata kidogo . Walijiangalia angalia sehemu zote za miili yao , lakini wao ...

Page 26
... Kisimba alipokwisha pumzika alianza kuzungumza na mfalme na kumweleza makusudio ya safari yake . Mfalme wa Wanyakyusa aliposikia madhumuni ya safari ya Mfalme Kisimba ni kumwoa binti wake , alikubali lakini alimwambia , " Joka Nondo ...

Page 27
... Kisimba kwamba atam- fanyia lolote amwombalo akamjibu , " Ghrrrrrrr ! Nawasamehe watu hawa si kwa sababu ya neno jingine lolote ila kwa ajili yako Kisimba shujaa na tangu leo nitainufaisha nchi hii kwa njia zote . ” Joka Nondo ...

Other editions - View all
Common terms and phrases
Afrika ya Mashariki Ahmed aina ajabu akaanza akamjibu akaona heri akasema akasikia alianza aliona Alipofika alipokuwa aliyekuwa ambaye atakuwa baba bahati bali barazani barua bastola Bi mkongwe biashara chache chochote dada dereva fisi gari ghafla giza hakujali halafu haraka huku ikawa iliyokuwa ingawa Inspekta Kapera jasho jembamba Jinamizi jinsi jitokeze John joka Nondo Joyce Jumamosi Kamene kamwe kijana kikutani kile kikuta Kioko kisha Kisimba Korogwe kuanza kufikiri kuingia ndani kumweleza kwakuwa kwenda Kyalo lile Longman macho magaidi maiti makachero Makevo mali mara mbele Mbeya mbio mchumba mfalme wa Wanyakyusa mganga mikono mjini mkongwe mlango mlangoni mle nyumbani Mnazimajini motokaa moyoni mwake mpenzi mpenziwe mradi msichana mtoto mtungi Mwana hamrithi babaye Mwanza Naam Nairobi naye Nondo nyumbani kwao P.O. Box pombe Pongwe punde radi Ruth alikuwa Sadik sauti shujaa starehe tano tatu tetesi tochi upelelezi usiku wageni wala wasi wasi Wayua wazee yoyote Yusufu zake zile