Vituko dunianiLongman, 1970 - 43 pages |
From inside the book
Results 1-3 of 5
Page 8
... Kamene aliduwaa huku akiuangalia ule mtungi uliokuwa ume- kwisha vunjika vipande vipande pale chini . Aliuangalia kwa huzuni maana ulikuwa mtungi maalumu sana kwao . Mtungi wenyewe Wayua alipewa zawadi na wazazi wake wakati wa ndoa yake ...

Page 9
... Kamene lakini alikuwa hana nafasi wala uwezo wa kushindana na mama yake ; maana ilikuwa kama jana tu alipokuwa akienda Nairobi akakutana na kijana mmoja mrembo sana , Kioko ; lakini sasa alikuwa na wasi wasi kwa kusikia maneno ya mama ...

Page 11
... Kamene lakini mara likafunga breki na hali taa zake zikiwa zinammulika tu . Kamene akaanguka mbele ya ile gari , akazimia . Yule mwenye gari akatoka nje ili kwenda kumwona yule msichana . Mara akaanza kumfanyia huduma ya kwanza huku ...

Other editions - View all
Common terms and phrases
Afrika ya Mashariki Ahmed aina ajabu akaanza akamjibu akaona heri akasema akasikia alianza aliona Alipofika alipokuwa aliyekuwa ambaye atakuwa baba bahati bali barazani barua bastola Bi mkongwe biashara chache chochote dada dereva fisi gari ghafla giza hakujali halafu haraka huku ikawa iliyokuwa ingawa Inspekta Kapera jasho jembamba Jinamizi jinsi jitokeze John joka Nondo Joyce Jumamosi Kamene kamwe kijana kikutani kile kikuta Kioko kisha Kisimba Korogwe kuanza kufikiri kuingia ndani kumweleza kwakuwa kwenda Kyalo lile Longman macho magaidi maiti makachero Makevo mali mara mbele Mbeya mbio mchumba mfalme wa Wanyakyusa mganga mikono mjini mkongwe mlango mlangoni mle nyumbani Mnazimajini motokaa moyoni mwake mpenzi mpenziwe mradi msichana mtoto mtungi Mwana hamrithi babaye Mwanza Naam Nairobi naye Nondo nyumbani kwao P.O. Box pombe Pongwe punde radi Ruth alikuwa Sadik sauti shujaa starehe tano tatu tetesi tochi upelelezi usiku wageni wala wasi wasi Wayua wazee yoyote Yusufu zake zile