From inside the book
Results 1-3 of 3
Page 3
Katika ofisi ya upelelezi ( CID ) walikuwako Inspekta Kapera na Koplo Makevo ,
wote walitatanishwa mno kwa kifo hicho na wala hawakujua waanzie wapi katika
upelelezi wao . Lakini , mioyoni mwao walifikiria kwamba , “ Ni lazima wahalifu ...

Page 4
Walipokuwa wakisimama vile , Inspekta Kapera akatupa jicho kwenye pembe
moja sakafuni na kuona kikaratasi kidogo . Akakiokota na kukifungua ; kilikuwa
kimeandikwa , “ JIHADHARI NA UPELELEZI HUU _ HERI UJIUZULU . ” Akili
zilimjia ...

Page 5
Lakini kwakuwa gaidi ni jasiri , mmoja wao akamrukia Inspekta Kapera na
kuanza kububurushana naye . Basi wale magaidi watatu waliobakia pia
wakaanza kumshambulia yule kachero huku akitumia Judo katika kuwabwaga
chini .

What people are saying - Write a review
We haven't found any reviews in the usual places.
Contents
Mbio za Sakafuni | 1 |
Mwana Hamrithi Babaye | 12 |
Kisimba Shujaa | 23 |
Copyright | |
1 other sections not shown
Other editions - View all
Common terms and phrases
Ahmed aina ajabu akaanza akamjibu akaona akawa akiwa alianza alikuwa aliona Alipofika alipokuwa aliyekuwa ambaye askari asubuhi atakuwa baba bado bahati bali barazani barua biashara binti chache dada dereva fisi gari ghafla giza halafu haraka heri hofu huku huyo huyu ikawa iliyokuwa ingawa Inspekta Kapera jasho Jinamizi jinsi John joka Nondo kabla Kamene kamwe karibu kiasi kifo kijana kikuta kile kimya Kioko kisha Kisimba kuanza kuelekea kufikiri kuingia kumi kuona kupiga kusikia kwakuwa kwani kwenda lile Longman macho magaidi maisha mali mama mara mbele mbio mfalme mganga mikono mjini mkongwe mkubwa mlango mlangoni mle nyumbani Mnazimajini moyo moyoni mpenzi msichana mtoto mwake Mwana mwenye mwenyewe mwingine mwisho Naam Nairobi naye ndani ndiye nguvu Nondo nyuma nyumbani pale pombe Pongwe punde Ruth Sadik safari sauti tangu tayari upande upelelezi usiku wageni wala wangu Wanyakyusa wasi wasi wawili Wayua wazee wewe yale yoyote Yusufu zake