From inside the book
Results 1-3 of 11
Page 4
Inspekta Kapera alipofika nyumbani kwake , akaenda moja kwa moja kuketi
chumbani mwake . Alipokuwa akifikiri afanyeje juu ya upelelezi ule , akasikia
sauti ikimwambia , “ Jana mlipata kitisho kidogo tu cha kuuacha upelelezi huu .

Page 17
Yule mganga alipofika na kupiga ramli yake aliona kwamba ile hirizi ni lazima
irudishwe pale pale penye kile kikuta na kikuta lazima kijengwe tena . Basi
aliwaamuru wale mafundi kufanya hivyo na halafu yule Bi mkongwe
akahamishwa pale ...

Page
Mhuni alipofika nyumbani akasema moyoni mwake , “ Unaona basi , Mungu
akupe , akupe nini — donda ! Nalichokuwa nikikitafuta si hiki ? " Akaingia ndani
akakusanya kila kitu hata sanduku la Ruth akabana mlango , huyoo ! Akaenda
zake .

What people are saying - Write a review
We haven't found any reviews in the usual places.
Contents
Mbio za Sakafuni | 1 |
Mwana Hamrithi Babaye | 12 |
Kisimba Shujaa | 23 |
Copyright | |
1 other sections not shown
Other editions - View all
Common terms and phrases
Ahmed aina ajabu akaanza akamjibu akaona akawa akiwa alianza alikuwa aliona Alipofika alipokuwa aliyekuwa ambaye askari asubuhi atakuwa baba bado bahati bali barazani barua biashara binti chache dada dereva fisi gari ghafla giza halafu haraka heri hofu huku huyo huyu ikawa iliyokuwa ingawa Inspekta Kapera jasho Jinamizi jinsi John joka Nondo kabla Kamene kamwe karibu kiasi kifo kijana kikuta kile kimya Kioko kisha Kisimba kuanza kuelekea kufikiri kuingia kumi kuona kupiga kusikia kwakuwa kwani kwenda lile Longman macho magaidi maisha mali mama mara mbele mbio mfalme mganga mikono mjini mkongwe mkubwa mlango mlangoni mle nyumbani Mnazimajini moyo moyoni mpenzi msichana mtoto mwake Mwana mwenye mwenyewe mwingine mwisho Naam Nairobi naye ndani ndiye nguvu Nondo nyuma nyumbani pale pombe Pongwe punde Ruth Sadik safari sauti tangu tayari upande upelelezi usiku wageni wala wangu Wanyakyusa wasi wasi wawili Wayua wazee wewe yale yoyote Yusufu zake